Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #5,341
Hapana wachina sio waongo, ila kuna kitu hujaelewa kuhusu bei za kwenye mitandao.Tatizo lawa china waongo sana Engine
- Mfano : Hii gari inauzwa US $260.
- Ila si kweli kuwa ili hii gari ukufikie basi utalipa $260
- Bali utatakiwa kulipa C&F , ambapo ni US $2,857
Iwapo umeelewa na kukubaliana na huu mfano wa manunuzi ya hii gari, sasa turudi alibaba, Kiasi cha fedha kilicho andika sio kiasi halisi utakacholipia, unatakiwa kuwasiliana na seller na umpe taarifa za ziada kama shipping options ulizonazo, ndipo naye atakupa bei /gharama halisi kulingana na jinsi wewe mnunuzi utakavyo.