Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Tatizo lawa china waongo sana Engine
Hapana wachina sio waongo, ila kuna kitu hujaelewa kuhusu bei za kwenye mitandao.
  • Mfano : Hii gari inauzwa US $260.
  • Ila si kweli kuwa ili hii gari ukufikie basi utalipa $260
  • Bali utatakiwa kulipa C&F , ambapo ni US $2,857
1712998109107.png

1712998197948.png

Iwapo umeelewa na kukubaliana na huu mfano wa manunuzi ya hii gari, sasa turudi alibaba, Kiasi cha fedha kilicho andika sio kiasi halisi utakacholipia, unatakiwa kuwasiliana na seller na umpe taarifa za ziada kama shipping options ulizonazo, ndipo naye atakupa bei /gharama halisi kulingana na jinsi wewe mnunuzi utakavyo.
 
Nahitaji kama hii ya Oppo watt80 View attachment 2953816
Mkuu kama watumia oppo napenda tu kujazia chukua chager yenge technology ya vooc ni mahususi kwa simu BBK nasema ivyo kwa nini nilinunua faster change ya 65 watts ila kwa oppo yangu ikawa aipeleki kama faster changer nilipofanya uchunguzi nikajua kua inaitaji vooc changer na nilipo nunua vooc changer basi ilipeleka vizuru
 
Habari.
  • Ahsante kwa kutujuza.
  • Hii order ilisha fanyika.
  • Mhusika Atafanyia kazi kwa order itakayofuata baada ya kuijaribu hii aliyoa agiza.
 
1713235871275.png

Ambapo:
1713235924344.png

Ukiangalia hii itema, saa , bei yake ni US $11, Tatizo liko kwenye shipping option na ghalama iliyowekwa na muuzaji.

1713236028310.png

Kwamba:
  • Ununue kwa US $10 na
  • Usafirishe kwa US $127
Haiko sawa hata kidogo.
- Hivyo kabla ya kunipa link yabidhaa husika hakikisha umekagua vyema na kujiridhisha kwamba iko ndani ya bajeti yako.
 
Google Chromecast with TV
1713599120537.png

Chromecast with Google TV (HD):
This more affordable model was released in September 2022. It offers Full HD (1080p) resolution and maintains the same user interface and remote control as the 4K version.
Price: TZS 191,100
Delivery: 2 weeks
1713599441640.png
 
Habari naomba uniangalizie hiyo simu pamoja na shipping itakua bei gani. Kwa company za shipping tofauti na hizo walionyesha wao.
 
Habari naomba uniangalizie hiyo simu pamoja na shipping itakua bei gani. Kwa company za shipping tofauti na hizo walionyesha wao.
128GB = TZS 567,420
256GB= TZS ‭637,980
1713858598403.png
 
Back
Top Bottom