Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Kweli kabisa Hilo ndo lialofuata
 
Ukiona mtu anasema ataanza na nyumba kabla ya gari achunguzwe akili yake.
Kwa vile ujana una mwisho na mifano ya wazee waliokuwa na magari ila sasa hivi wanategemea huruma ya mwenye nyumba pale wanapokosa kodi wapo basi za kuambiwa tutachanganya na zetu.

Kuna mzee Kila siku kupigia watoto na kuwaambia unajua hamna kwenu? Ili angalau watoto wajikusanye wajenge wamuondolee aibu ya kuhama hama nyumba za kupanga.
 
sote tukifanana akili unafikiri kutakuwa na usalama..?
hivi we huwazi watu wote tununue gari hiyo jam yake utaiweza kama tu iliyopo sasahivi mnalia..😅

Mtongozo wangu na coca wewe haukuhusu na huu uzi ni wa jf si mali yako tena!.
Hana akili huyu
So kuwa na nyumba ndo mafanikio? 🤣 hii nchi hii… uhuru wa kumiliki ardhi ndo umetufikisha huku

Maana mtu anajiita ananyumba kumbe uhalisia n kwamba anasehemu y kuegesha mwili tuu
politics observer kijana kwenye ule uzi uliokupandisha mashetani ukaja fungua uzi wako hapa nimekukaribisha home uje na io gari yako

Mafuta ntakulipia

Uje na mkeo na izo hoja zako nyepesi akusikie

Location kinyerezi mwisho
 
Kama mtu hana uwezo wa kununua gari ya mil 8-10 akisingizia kwamba anataka ajenge.. huyo mtu ni MASKINI wa kutupwa.

Na hata hilo Banda (Anaita nyumba) anayojenga pia ni ya kimaskini vilevile..

Watanzania wengi wanajenga MABANDA wanaita Nyumba.

kama gari ya mil 8-10 unaona ni liability, Anasa basi tafuta hela zaidi.. maana hata hiyo nyumba utakayojenga ni Banda wala si nyumba.

Nikosolewe kwa HOJA za msingi.
 
Makini sana Assets kwanza liabilties baadae
 
Hakikisha una kipato imara kabla ya kununua gari. Kinyume na hapo utapata depression. Kama kipato chako ni chini ya USD 10,000 kwa mwaka achana na habari za gari.
 
Boss hata hayo maghorofa hujengwa kwa hatua leo una 8_10m unaweza anza na ukafikia huko unako pataka

Haina maana leo ukiwa na pesa kidogo basi maisha yote utakosa pesa

Izo unazo weka mafuta kwa miaka 5 utakapo kuwa ukihudumia gari unaweza endelea kuhudumia jengo lako taratibu mpaka liishe
 
Mtu anaweza awe na gari na bado hasiweze kumiliki nyumba. (Standard sio Vibanda)

Kuwa na Gari ni rahisi kuliko kuwa na nyumba.

Kwahiyo kianze Gari then ndio ije nyumba.

Nyumba unaweza jenga kwa Miaka 5 ili itokee nzuri vile unataka.
Wakat gar standard 15-30 Mill hapo ukitaka used bei inashuka zaidi.
Kujenga Nyumba standard 50-100 mill hapo Kiwanja weka Pembeni.

Now ushaona Kipi Kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…