Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.

Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.

Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.

Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwezi pata nyumba ya mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.

Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii ni nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana ni ya wasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.

Gari now days ni hitaji la msingi sana hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.

Mimi binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa na kipato cha chini sana, bt adha ya usafiri, mahitaji ya kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya IST.

Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii ni kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).

Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.

Now nimebadilisha gari, natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.

Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job.

Sitaki kukumbuka ile homa ya mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.

Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwenye mwendokasi wakati wa kugombania.

Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini na shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo ya ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na sisi tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).

Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).

Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Uko sahihi lakin kila mtu atatoka kwa stori yake sio kwa mtizamo wako. Mi nilifikia mpaka kujenga nyumba mbili by then bila gar na miez sita kabla cjanunua gari yangu nilikuwa nimenunua gari ya vijana wangu wa kazi then ndio nikaja kununua gari yangu. Kila mtu ana mawazo sawa coz tuko kwenye njia moja lakin kila mtu ana ndotoa zake na kila mtu ana namna ya kufikia goli. Maisha sio millele kuna siku yataleta kile unachotaman kukifikia ishu ni kuwa wakati kimekuja kwako utagundua?
 
Una akili za kutosha.
 
Kwa aina ya usafiri wa umma uliopo hasa dar na kero zake za kujazana mpk unashindwa kupumua, hakika ni aibu na fedheha kuu!
Foleni bora boda boda maana gari nalo ni mzigo vile vile.

Kama hujaoa ukimtoa mtoa mada maana mke wake atachukia akiliuza

Chukua boda utawahi na kuokoa muda pia maintenance cost na gharama zote zinaweza kua nafuu kuzidi hata usafiri wa uma

Kwa maana ya usalama kiafya
Kuokoa muda
Pesa pia maana ukitumia boda ya kukodi gharama huwa juu zaidi

Etc

Haya yote tunayo yasema tumeyafanya na tumeyaishi/tunayaishi
 
Uko sahihi lakin kila mtu atatoka kwa stori yake sio kwa mtizamo wako. Mi nilifikia mpaka kujenga nyumba mbili by then bila gar na miez sita kabla cjanunua gari yangu nilikuwa nimenunua gari ya vijana wangu wa kazi then ndio nikaja kununua gari yangu. Kila mtu ana mawazo sawa coz tuko kwenye njia moja lakin kila mtu ana ndotoa zake na kila mtu ana namna ya kufikia goli. Maisha sio millele kuna siku yataleta kile unachotaman kukifikia ishu ni kuwa wakati kimekuja kwako utagundua?
Point msumali sana hii
 
Hata Vitz old model ni ndinga. Kwangu mimi gari ya chini ya Tsh 15m sio gari.
Hahaha, Ni nini mkuu? Gari hata la m2 ni gari as long as unaweza kulirekebisha taratibu na likawa zima. Ila kama unanunua mkweche hapo hapo unalipa kodi hapo hapo unakipato cha kati chini ndo tunasema huna gari una takataka, ila kama una kwako, likikufia si unapaki hata uwani unatengeneza taratibu mpaka linakuwa gari.
 
Kama mtu hana uwezo wa kununua gari ya mil 8-10 akisingizia kwamba anataka ajenge.. huyo mtu ni MASKINI wa kutupwa.

Na hata hilo Banda (Anaita nyumba) anayojenga pia ni ya kimaskini vilevile..

Watanzania wengi wanajenga MABANDA wanaita Nyumba.

kama gari ya mil 8-10 unaona ni liability, Anasa basi tafuta hela zaidi.. maana hata hiyo nyumba utakayojenga ni Banda wala si nyumba.

Nikosolewe kwa HOJA za msingi.
Kaka umemaliza kila k2…
Niamini mm hakuna mwenye hoja yenye nguvu ya kukipanga comment yako..

Wengi wao hawajui kutofautisha gharama za ujenzi na ununuzi wa gari cz wanajenga mabanda y kuegesha ubavu
 
Mkuu, Mwanaume usitake mambo mepesi ujanani, mambo mepesi yanakuja ukiwa na miaka kuanzia 45 kwenda mbele hapo una nyumba yako standard. Hata ukivuta chuma used ikiharibika utapaki uwani kwako. Sio unanunua gari used mkweche linakufia hapo hapo mwenye nyumba anataka nyumba yake hujui utapaki wapi gobogobo lako.
Mwisho tunalinunua kwake kwa laki saba kisa haliwaki
 
Foleni bora boda boda maana gari nalo ni mzigo vile vile.

Kama hujaoa ukimtoa mtoa mada maana mke wake atachukia akiliuza

Chukua boda utawahi na kuokoa muda pia maintenance cost na gharama zote zinaweza kua nafuu kuzidi hata usafiri wa uma

Kwa maana ya usalama kiafya
Kuokoa muda
Pesa pia maana ukitumia boda ya kukodi gharama huwa juu zaidi

Etc

Haya yote tunayo yasema tumeyafanya na tumeyaishi/tunayaishi
Mkuu boda ni chanzo kikuu cha umauti hapa mjini, drivers wa magari wanadharau watu wa pkpk na wanawaona wakorofi..so muda wowote wanakupelekea gari unaelekea akhera na kuacha familia ikiteseka.
 
Back
Top Bottom