Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 666
licha ya kwamba nafanya siasa but I'm also an apostle. dhuluma, uonevu na uchafu kwangu mwiko.Wewe mbona umepata kwa wizi wa kuiba kodi za wananchi? Umeanza kujifanya mtakatifu..!!
yeah, gari sio anasa. Ni kitendea kazi. ni hitaji la muhimu sana.Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwezi pata nyumba ya mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii ni nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana ni ya wasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sana hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mimi binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa na kipato cha chini sana, bt adha ya usafiri, mahitaji ya kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya IST.
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii ni kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari, natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job.
Sitaki kukumbuka ile homa ya mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwenye mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini na shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo ya ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na sisi tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Gari la million 3 hakuna. Labda km unaulizia chombo cha usafirimimi nina milioni 3 naomba mpost gari ya bei hiyo
Kuna vijana bado wanamawazo wa mwaka 1947 ndugu yanguyeah, gari sio anasa. Ni kitendea kazi. ni hitaji la muhimu sana.
Mm nahic ww hunauwezo wa kumiliki gari…Nimezungumzia vijana tuliotoka kwenye familia za watoto wa mama ntilie na sasa tupo middle upper class, nyinyi wenzetu mliovuka hapo hakuna tatizo.
BTW pesa ya kununua gari hata muda huu nikitaka ninayo ila nikisha nunua then what (hapa najizungumzia mimi) ?? Niwe naenda nalo kazini na kurudi nalo nyumbani?? Nipate heshima??!! Mimi bado sina sababu ya msingi ya kuwa na gari langu binafsi kwa sasa. Nikihiaji usafiri private nina uwezo wa ku afford uber pia
chombo cha moto ni pasi na jiko pekeyake…Inasemekana kuna chombo cha Moto na gari hebu tufafanulieni kidogo
We nae pita hivi 👉🏼Sure tatizo vijana hawajazungukazunguka duniani huko
Akili mnembe hizo kutangaza shida xa jamaa zako…Kiukweli mi sijawa na gari japo uwezo wa kuwa nalo nnao hata leo,,kinachonishangaza ikifika tarehe 15-22 napigiwa sana simu za kukopwa hela na hao wenye magari mpaka najiuliza sasa huyu hiyo e.g 30m aliyonunulia gari si angeizungusha ili kuepukana na kuwa omba omba😅😅😅😇
Akili ya wivu hii. Jah akujalie n ww umiliki kapasso kakona kwasabb hiyo si unaona hata waliopata magari kwa njia za uchafu na kutweza utu wao wakipata mizinga barabarani inakua ni songombingo kweli hatoki mtu wa moto ni baridi tu.
Ni muhimu kutumia maarifa, bidii na nguvu zetu wenyewe kupata vitu vya ndoto zetu ikiwa ni pamoja na usafiri binafsi 🐒
Kaka vijana wenyeakili mnembe hawawez kukuelewaMimi nilianza kununua gari kabla ya kujenga. Inategemea na kipato chako. Nilinunua gari, then kiwanja, nikabadilisha gari mara 2, nikanunua kiwanja kingine na kanza kujenga. Sasa nipo kwangu. Na mwaka jana nimebadilisha gari.
Ndugu yangu inaonekana una tatizo la low self esteem, ila nimegundua pia inawezekana kuna hitilafu kwenye process yako ya kubalehe ndio maana tangu awali nilikuambia ukibalehe vyema utaelewa nachosemaMm nahic ww hunauwezo wa kumiliki gari…
Gari kwa mwanaume ukiachana na heshima mtaani, inaongeza kujiamini, kwako n kwamkeo…
Inaongeza faragha, unaweza kucommunicate mambo ya privacy ndani y gari lako, au hata kusuruhisha mambo y kifamilia ukiwa safarini.
Gari n rehani na nimali inayohamishika..
Gari ni uwekezaji pia km ilivyo nyumba na kiwanja, swala la depreciation hata nyumba, kiwanja, mwanamke hushuka dhamani pia kutokana na various factors. (Tutajadili baadae).
Gari Huongeza thamani kwny utafutaji wako. (hili utalifahamu siku ukimiliki gari)
Gari kwa Mwanaume hasa mwenye familia ni muhimu. Hili lipo wazi
Mdada huyo nafikiri🤔Kaka vijana wenyeakili mnembe hawawez kukuelewa
Shuhuda kama hizi mtoa uzi hajaona ndio maana analeta mtazamo wake. Huenda kakulia familia bora anajua ikiwa mbaya ana pa kukimbilia hapa mjini. Mliotoka mkoani msiige mtindomaisha wa wazawa, kuna watu wanaolea na wanazeekea makwao sababu ni hapahapa mjini.Nakumbuka mwaka 1999 kuelekea 2000 wazazi wangu wote waliwili wakiwa wafanyakazi wa shirika moja la serikali libinafishwa kwenda kwa muwekezaji.
Walipewa Nyumba Bure,Umeme bure,Usafiri uliwafuata na kuwarudisha nyumbani.
Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa lile shirika hawakujenga nyumba zao za kuishi,hata viwanja hawakuhusika navyo,wengi walinunua pikipiki na magari.
Alikuja muwekezaji na kupunguza wafanya kazi wengi.
Nakumbuka mama yangu alipunguzwa pia ,ila tulibaki kwenye nyumba ya kampuni kwa mgongo wa baba ambae alibakibaki kazini.
Mtaani kwenye kota zile ilikua aibu,watu hawana pa kwenda,na walipewa mafao yao.
Hawakua na kiwanja wala kibanda cha kujisitiri,kodi nje ya mji zilipanda maradufu.
Tulikua na pagala letu tumepaua na kuweka madirisha ya nondo, kuna rafiki yake baba aliomba kwenda kujishikiza hapo na familia yake.
Nilipata funzo kubwa sana la maisha.
Nilipopata ajira Dar, baada ya mwaka nikamwambia baba nimenunua kiwanja naomba uje ukione.
Mama alilia sana,akaniambia umekumbuka yaliyotukuta 2000 nikamwambia mama ndio mama.
Binafsi nilikataa kununua gari kupaki kituo cha mafuta
Nyumba husitiri ndugu zangu.
Legacy.
ndio huwa kila siku nawa ambia vijana buying a car ili ni zunguke hapa na pale, kwangu sio jambo la muhimu kabisa.Nimezungumzia vijana tuliotoka kwenye familia za watoto wa mama ntilie na sasa tupo middle upper class, nyinyi wenzetu mliovuka hapo hakuna tatizo.
BTW pesa ya kununua gari hata muda huu nikitaka ninayo ila nikisha nunua then what (hapa najizungumzia mimi) ?? Niwe naenda nalo kazini na kurudi nalo nyumbani?? Nipate heshima??!! Mimi bado sina sababu ya msingi ya kuwa na gari langu binafsi kwa sasa. Nikihiaji usafiri private nina uwezo wa ku afford uber pia
Akili mnembo.Kaka vijana wenyeakili mnembe hawawez kukuelewa
Mimi ni KeKaka vijana wenyeakili mnembe hawawez kukuelewa
Hahaha….Hizi za kuambiwa tunachangaya na za kwetu......
oooh samahani sn mkuu….Mimi ni Ke