rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,965
- 5,894
Nilipata kazi nikajenga room 12 madarasa za kupanga. Now napiga 35,000# ×12 na ni jobless. Sijui kama ni sawa.
Rafiki yangu yupo USA Arusha tulikuwa naye kazini akapata hela akajenga self hajamalizia fresh na kununua ndinga nzuri tu. Tulipokosa kazi alirudi kwa wazazi kuishinkwa Muda na wameru walivyo, hakuruhusiwa kulala na Mkewe ndani ya nyumba kubwa. Alipewa chumba cha nje na MKEWE ALILALA NDANI YA NYUMBA KUBWA YA WAZAZI WA JAMAA na watoto.
Jamaa kuona KERO akauza gari akamalizia rum tatu akaenda kuishi kwenye nyumba yake ila Hana kazi, hana kipato.
Sijajua ujanja ni nini hapo.
Maisha na machaguzi ni mtu mwenyewe na background yake naona.
Kila kitu ni lazima ila kwanza kwa binadamu ni FOOD, CLOTHING AND SHELTER ndio tulifundishwa hivyo.