Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Cheki na mwl rct huku bei iko juu
Screenshot_20200730-095024.jpg
 
Wee kichwa kibovu kweli ..nitakuwekea unachotaka
Wanapokea kupitia smart card yako
Ngoja niepushe balaa lakipinzani niwe mpole kwa muda..😅

So ni njia moja tu hawakubali PayPal au Skrill..?
 
Hapana wamenirefund na kusema kama nikipokea basi iwe zawadi..kuna kitu kinaitwa buyer's protection..mara nyingi ni siku 60 zikipita hujapokea mzigo unarudishiwa hela yako ..mzigo ukifika baada ya hapo ni zawadi

Sasa Mshana vipi unaweza kununua Alibaba unisaidie??
 
Hapana wamenirefund na kusema kama nikipokea basi iwe zawadi..kuna kitu kinaitwa buyer's protection..mara nyingi ni siku 60 zikipita hujapokea mzigo unarudishiwa hela yako ..mzigo ukifika baada ya hapo ni zawadi
Hongera ila na pia hongera zaidi maana naona tunguli zako zimekuwa hadi ktk anga zakimataifa..😅

Mi nilitumia eBay unaweza lipia hata kwa mpesa MasterCard!
 
Sitaki kuharibu biashara ya mtu lakini kulinishinda kule ...hata hivyo haya maduka mawili ya mtandaoni inaelekea mmiliki ni mmoja
Ilianza Alibaba ilipoharibu akaja na Aliexpress nadhani....kwakuwa icloud inasoma Alibaba
By the way ulikuwa unahitaji vitu gani?
Hauko sahihi hapa mkuu, Alibaba ni kwaajili ya large order pekee, au niseme ji vitu vya jumla tu , ile jumla yenyewe haswa .. Ukiagiza kitu utakuta min order labda ni items 1000

wakati Ali Express ni kwaajili ya akina sie, hata kitu kimoja ukitaka unapata , hiyo ndio tofauti tu mkuu na sii vinginevyo
 
Back
Top Bottom