Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Hauko sahihi hapa mkuu, Alibaba ni kwaajili ya large order pekee, au niseme ji vitu vya jumla tu , ile jumla yenyewe haswa .. Ukiagiza kitu utakuta min order labda ni items 1000
wakati Ali Express ni kwaajili ya akina sie, hata kitu kimoja ukitaka unapata , hiyo ndio tofauti tu mkuu na sii vinginevyo
Alibaba hata one unit kunabaadhi ya supplier wanauza