Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Wee kichwa kibovu kweli ..nitakuwekea unachotaka
Wanapokea kupitia smart card yako
Ngoja niepushe balaa lakipinzani niwe mpole kwa muda..πŸ˜…

So ni njia moja tu hawakubali PayPal au Skrill..?
 
Hapana wamenirefund na kusema kama nikipokea basi iwe zawadi..kuna kitu kinaitwa buyer's protection..mara nyingi ni siku 60 zikipita hujapokea mzigo unarudishiwa hela yako ..mzigo ukifika baada ya hapo ni zawadi

Sasa Mshana vipi unaweza kununua Alibaba unisaidie??
 
Ngoja niepushe balaa lakipinzani niwe mpole kwa muda..[emoji28]

So ni njia moja tu hawakubali PayPal au Skrill..?
Afadhali ...nadhani wanakubali pia
 
Hapana wamenirefund na kusema kama nikipokea basi iwe zawadi..kuna kitu kinaitwa buyer's protection..mara nyingi ni siku 60 zikipita hujapokea mzigo unarudishiwa hela yako ..mzigo ukifika baada ya hapo ni zawadi
Hongera ila na pia hongera zaidi maana naona tunguli zako zimekuwa hadi ktk anga zakimataifa..πŸ˜…

Mi nilitumia eBay unaweza lipia hata kwa mpesa MasterCard!
 
Acha wivu ukitaka njoo nikufundishe... Ebay niliwakimbia pia wana ujanja ujanja mwingi
Unifundishe tunguli..??πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo ya kurefund najua mi sio mshamba kama wewe mtani..πŸ˜…
Sema ndo hivyo nyama mbuzi alifia kwa muuza supu..πŸ˜‚
 
Hauko sahihi hapa mkuu, Alibaba ni kwaajili ya large order pekee, au niseme ji vitu vya jumla tu , ile jumla yenyewe haswa .. Ukiagiza kitu utakuta min order labda ni items 1000

wakati Ali Express ni kwaajili ya akina sie, hata kitu kimoja ukitaka unapata , hiyo ndio tofauti tu mkuu na sii vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…