Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agiza kupitia Aliexpress ama Alibaba ...Singapore ni nzuri zaidi lakini siku hizi tuna mawakala wa kibongo wanasafirisha kwa $20 tuu full boxedWakuu habar za wakati
Mimi nataka kuagiza simu kupitia app ya Ali Express
Kweny upande wa payment kulikua na option ya web money na nyingine ya visa, Master card ect
Nimeiweka Master card yng ya Crdb na ku isave kwa ajili ya malipo mengine
Je ni salama?
Maana nimeona watu wakitumia M- pesa Master?
Je hii ni njia bora kuliko zingine?
Na sikuona hii option ya Mpesa Master card labda mtu anieleweshe vzr
Pia kweny shipping naona ipo ya ali express standards shipping (unavailable tracking) na Ali Express primeum (available tracking number)
Swali je Ali Express hana free shipping?
Na je vipi kuhusu izo Singapore Post mbona haipo option yke?
Naomba kueleweshwa
Maana seller karibu wote nilio waona wanatumia ali express standards shipping
Note: Mimi sijawahi kufanya hiki kitu naitaji muongozo!
1.AliExpress standard shipping ndio njia salama ambayo AliExpress wenyewe wanaiamini na kuitumia. Ndio maana sellers wengi wanaitumia. Percels zote zinapitia Singapore post kwa kuitumia AliExpress standard shipping.
Free shipping zipo kwa bidhaa nyingi tu ila zinachukua mda mrefu,Kama mwezi au miezi miwili kwa mzigo kufika.
Njia ya AliExpress standard shipping gharama zake ni za chini ukilinganisha na DHL,FEDEX,ARAMEX, ALIEXPRESS PREMIUM SHIPPING. AliExpress standard shipping inachukua siku 14 mpaka 21 Kama ikitokea hakuna delay yeyote i.e corrona, clearence etc.
2.Hakuna tofauti yoyote Kati ya mpesa MasterCard au Airtel MasterCard na MasterCard ya bank yoyote. AliExpress wanaitumia mfumo wa alipay kufanya malipo. Kwa hiyo unapolipia kupitia master card pesa inapelekwa alipay ili kuizuia isiende moja kwa moja kwa muuzaji mpaka utakapopokea bidhaa yako na kuthibitisha kuwa kweli umeipokea.
Kwa hiyo ni salama kabisa kulipia kupitia aliexpress kwa kutumia master card.
Kwa sababu sasa hivi Vodacom na Airtel wanazo MasterCard nakushauri uzitumie maana Haina haja ya kwenda bank kuweka pesa. Ni kwa mawakala tu ukiweka pesa basi unalipia bidhaa faster.
Chaguo ni lako.
Wakati wa kufanya malipo chagua option ya MasterCard.
Agiza kupitia Aliexpress ama Alibaba ...Singapore ni nzuri zaidi lakini siku hizi tuna mawakala wa kibongo wanasafirisha kwa $20 tuu full boxed
..lipia kwa visa ama MasterCard ni salama zaidi hata kwa refund
Take care utapigwa..au nitumie link yake nikusaidie kuchekiKuna hii kitu kupitia market ya eBay naomba ufafanuzi
Kwamba iPhone unaipata kwa USD 8
Is it true au ni scammer tu
Cheki picha chiniView attachment 1546050
Take care utapigwa..au nitumie link yake nikusaidie kucheki
Natumia app mshana
Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,
Isije ikawa kind of toy
Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect
Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.
Experience yenu wakuu mshana Jr
EBay ni wahuni sana ..hawa ndio nilianza nao..kwenye picha wanakuwekea kitu halisi ila utakachopokea Mungu pekee ndie ajuayeNatumia app mshana
Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,
Isije ikawa kind of toy
Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect
Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.
Experience yenu wakuu mshana Jr
Yaani wanamaanisha ukichukua oder chini ya 1000,Hivi wakiekaga bei kama ivo inakuwaje yaani bei halisi ni IPI? Na ni kwa katon moja am a vipi? Nitoeni ushamba[emoji2] View attachment 1532130
Na hapo wanaongelea coton moja.ndo kwa hizo beiHivi wakiekaga bei kama ivo inakuwaje yaani bei halisi ni IPI? Na ni kwa katon moja am a vipi? Nitoeni ushamba[emoji2] View attachment 1532130
Natumia app mshana
Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,
Isije ikawa kind of toy
Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect
Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.
Experience yenu wakuu mshana Jr
TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZIJinsi gan ya kuagiza alibaba
Jinsi gan ya kuagiza alibaba
Habari?Kuna mizigo ya aina mbili
Ukiwa ni register hulipii kama sio register unalipia..mimi sijawahi kulipia zaidi ya elfu 5
Habari Kaka Mshana nami ninakiu kujuwa jinsi ya kuagiza chochote kwa njia ya mtandao I na jinsi ya kuvipata kw uaminifu.
Download app ya Aliexpress kisha takuelekezaMi bado mgeni humu JamiiForum naombeni kujufunza mengi ninayo kufanya nayo