Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Wakuu habar za wakati
Mimi nataka kuagiza simu kupitia app ya Ali Express

Kweny upande wa payment kulikua na option ya web money na nyingine ya visa, Master card ect

Nimeiweka Master card yng ya Crdb na ku isave kwa ajili ya malipo mengine
Je ni salama?

Maana nimeona watu wakitumia M- pesa Master?
Je hii ni njia bora kuliko zingine?

Na sikuona hii option ya Mpesa Master card labda mtu anieleweshe vzr

Pia kweny shipping naona ipo ya ali express standards shipping (unavailable tracking) na Ali Express primeum (available tracking number)

Swali je Ali Express hana free shipping?
Na je vipi kuhusu izo Singapore Post mbona haipo option yke?
Naomba kueleweshwa

Maana seller karibu wote nilio waona wanatumia ali express standards shipping

Note: Mimi sijawahi kufanya hiki kitu naitaji muongozo!
Agiza kupitia Aliexpress ama Alibaba ...Singapore ni nzuri zaidi lakini siku hizi tuna mawakala wa kibongo wanasafirisha kwa $20 tuu full boxed
..lipia kwa visa ama MasterCard ni salama zaidi hata kwa refund
 
Shukrani mkuu Mungu akubaliki
Nimejifunza Mengi
1.AliExpress standard shipping ndio njia salama ambayo AliExpress wenyewe wanaiamini na kuitumia. Ndio maana sellers wengi wanaitumia. Percels zote zinapitia Singapore post kwa kuitumia AliExpress standard shipping.
Free shipping zipo kwa bidhaa nyingi tu ila zinachukua mda mrefu,Kama mwezi au miezi miwili kwa mzigo kufika.
Njia ya AliExpress standard shipping gharama zake ni za chini ukilinganisha na DHL,FEDEX,ARAMEX, ALIEXPRESS PREMIUM SHIPPING. AliExpress standard shipping inachukua siku 14 mpaka 21 Kama ikitokea hakuna delay yeyote i.e corrona, clearence etc.

2.Hakuna tofauti yoyote Kati ya mpesa MasterCard au Airtel MasterCard na MasterCard ya bank yoyote. AliExpress wanaitumia mfumo wa alipay kufanya malipo. Kwa hiyo unapolipia kupitia master card pesa inapelekwa alipay ili kuizuia isiende moja kwa moja kwa muuzaji mpaka utakapopokea bidhaa yako na kuthibitisha kuwa kweli umeipokea.
Kwa hiyo ni salama kabisa kulipia kupitia aliexpress kwa kutumia master card.
Kwa sababu sasa hivi Vodacom na Airtel wanazo MasterCard nakushauri uzitumie maana Haina haja ya kwenda bank kuweka pesa. Ni kwa mawakala tu ukiweka pesa basi unalipia bidhaa faster.
Chaguo ni lako.
Wakati wa kufanya malipo chagua option ya MasterCard.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Agiza kupitia Aliexpress ama Alibaba ...Singapore ni nzuri zaidi lakini siku hizi tuna mawakala wa kibongo wanasafirisha kwa $20 tuu full boxed
..lipia kwa visa ama MasterCard ni salama zaidi hata kwa refund
 
Natumia app mshana

Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,

Isije ikawa kind of toy

Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect

Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.

Experience yenu wakuu mshana Jr
Take care utapigwa..au nitumie link yake nikusaidie kucheki
 
Hizo ni simu za kichina, wanaiba majina au model za makampuni makubwa ili kuvutia wateja
Natumia app mshana

Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,

Isije ikawa kind of toy

Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect

Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.

Experience yenu wakuu mshana Jr
 
Asante chief kuna liccm liliniambia eti mzigo ukitua tu nqpigwa tena kodi
Mwambie aweke uthibitisho... Unajua kabla ya kulipia kila kitu huwekwa wazi kama gharama halisi za mzigo kodi na usafiri
 
Natumia app mshana

Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,

Isije ikawa kind of toy

Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect

Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.

Experience yenu wakuu mshana Jr
EBay ni wahuni sana ..hawa ndio nilianza nao..kwenye picha wanakuwekea kitu halisi ila utakachopokea Mungu pekee ndie ajuaye
Nilichojifunza ni hiki! Epuka vitu vizuri lakini bei yake rahisi
 
Hivi wakiekaga bei kama ivo inakuwaje yaani bei halisi ni IPI? Na ni kwa katon moja am a vipi? Nitoeni ushamba[emoji2] View attachment 1532130
Yaani wanamaanisha ukichukua oder chini ya 1000,
Labda unataka pc 200,.ndo bei inakuwa ni hiyo kubwa.
Na ukichukua 1000 pc na kuendelea ndo bei inakuwa ndogo.
 
Natumia app mshana

Ila kuna nifanya niwe na wasiwasi
Mfano eBay kuna simu inaitwa p40 pro inauzwa kwa USD 55 specifications sasa RAM 6, ROM 128,

Isije ikawa kind of toy

Ali Express sasa simu A90 kwa bei ya 188000
Specifications zake
RAM 6
ROM 128
CAMERA 32MP REAR, 16MP FRONT,
BATTERY 4500 mha
Ila uyu nimeangalia customer questions hajibu na watu wali complain sna
Ubovu wa battery, camera ect

Ebay naona kuna kuna seller ratting tu akuna sehemu ya customer question.

Experience yenu wakuu mshana Jr

Seller rating ni muhimu sana.

Akiwa na rating ya chini maana yake haaminiki.

Haya mambo ni simple tu kutambua.

Kwanza kabisa nunua kwa seller/supplier aliye verified lakini pia ana ratings za juu.
 
Jinsi gan ya kuagiza alibaba
TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI
- Chagua bidhaa unayohitaji

1. Angalia sehemu ya mawasiliano na mawasiliano yafanyike ukiweka wazi
- Idadi ya mzigo unayohitaji
- Mahali mzigo unapelekwa
- Njia ya usafirishaji unayotaka itumike kulingana na ukubwa wa mzigo
- Njia ya malipo utakayoitumia

2. Atakupatia Quotation kulingana na hayo mliyojadili, utaipitia, na iwapo utalizika basi atakupa Performa invoice {Manunuzi + Usafirishaji hadi mahala aulipo} tayari kwa wewe kulipia

3. Utafanya malipo husika - Zitumike njia za malipo zilizopo alibaba.

4. Utasubiria mzigo wako uweze kufika nchini

5. Baada ya mzigo kufika nchini, taratibu za clearance zitafuata.

6. Utawajibika kulipia kodi /vat iwapo utatakiwa kufanya hivyo na mamlaka husika

Mjadala zaidi hapa:
#1. Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

#2. Baada ya kuagiza bidhaa kwa kutumia Alibaba, Kodi na gharama za usafirishaji zipoje?
 
Kuna mizigo ya aina mbili
Ukiwa ni register hulipii kama sio register unalipia..mimi sijawahi kulipia zaidi ya elfu 5
Habari?
Mkuu nifafanulie hii,huwa nahofia sana issue ya kodi,na usafiri.
Ambao sio register inakuwaje na mteja anaweza kujua kama ni register au la kabla ya kutuma?
 
Back
Top Bottom