INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

Bati

Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
26
Reaction score
48
Kwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa Na ndoo 50 Za lita 20) Kwa TSHS.200,000 tu.wahi sasa ofa hii, ujenge kwa bei nafuu na katika ubora unao takiwa pia tunakodisha aina zote za mitambo na tunauza pia mitambo yote ya earthmoving na building works kwa maelezo zaid usisite piga au Whatsapp +255757020067
 
Bei ikoje based on ratios; kwa matumizi tofauti ya zege? Mfano zege kwa ajili ya ghorofA, daraja etc
 
Na ndoo ngapi zinaweza ku fill a standard flat surface house ya vyumba vitatu mpaka vinne? Kumbuka sio steep surface!
 
Kwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa Na ndoo 50 Za lita 20) Kwa TSHS.200,000 tu.wahi sasa ofa hii, ujenge kwa bei nafuu na katika ubora unao takiwa pia tunakodisha aina zote za mitambo na tunauza pia mitambo yote ya earthmoving na building works kwa maelezo zaid usisite piga au Whatsapp +255757020067
sijaelewa zege iliyotayari ndoo 50 Sh 200,000? au kuchanganya zege kiasi hicho ni 200,000?
 
nitajuaje kuwa umeweka ratio ninayotaka?
 
Bei ikoje based on ratios; kwa matumizi tofauti ya zege? Mfano zege kwa ajili ya ghorofA, daraja etc

Bei zetu zipo Kwa Grade mnyabulisho Kama ufuatao
C10-190,000/-
C15-195,000/-
C20-200,000/-(inayotumika sana)
C25-208,000/-(Kwa ghorofa itakufaa)
C30-226,000/-
C35-235,000/-
C40-248,000/-
C45-270,000/-
C50-290,000/-
Hizo zote Ni Bei kulingana Na grade Za zege.
Note that C- lnasimamia Kama class.
 
sijaelewa zege iliyotayari ndoo 50 Sh 200,000? au kuchanganya zege kiasi hicho ni 200,000?

200,000 Ni zege iliyo tayari Kwa kumwaga site Na transport inclusive Kwa Umbali ambao Upo ndani ya km 10 kuzunguka pande Zote Za plant yetu.ila inapovuka km 10 charge inaongezeka kidogo Kwa ajili ya charge ya mafuta.
 
Nawajua Gulf Concretes wanafanyaga hizi kazi, na bei zao ni nzuri tena wakikuuzia zege wanakupatia na Cetrificate ya Mkaguzi, wako Mikocheni Barabara ya ITV kule mwisho unakunja kulia karibu na ITV.

Je wewe unatoaga certificate ya vipimo vya maabara ya Zege unalouza??
 
Kumbuka TShs 200,000/- ina mwagwa Kwa CBM 1. Sawa Na urefu mita 1 upana mita 1 kina mita 1 ambayo Ni Sawa Na 1x1x1=1 M3
 
Nawajua Gulf Concretes wanafanyaga hizi kazi, na bei zao ni nzuri tena wakikuuzia zege wanakupatia na Cetrificate ya Mkaguzi, wako Mikocheni Barabara ya ITV kule mwisho unakunja kulia karibu na ITV.

Je wewe unatoaga certificate ya vipimo vya maabara ya Zege unalouza??

Ndio tunatoa Mkuu Certified by TBS
 
Nawajua Gulf Concretes wanafanyaga hizi kazi, na bei zao ni nzuri tena wakikuuzia zege wanakupatia na Cetrificate ya Mkaguzi, wako Mikocheni Barabara ya ITV kule mwisho unakunja kulia karibu na ITV.

Je wewe unatoaga certificate ya vipimo vya maabara ya Zege unalouza??
Anzisha thread yako usiharibu biashara za watu
 
gharama zote hizozanini,waka kokotoya msolwa laki mbili napa ya kutosha mkuu.sisi walala hoi hiyo haitufahi....mpaka wakitugawia za makinikia tunaweza kukutafuta
 
Back
Top Bottom