INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

Hujaelewa somo.... Kazungumzia one cubic meter, kwahiyo you can spread it the way you want based on thickness na surface area

Kikubwa hapo Ni urefu × Upana × Kimo
Watanzania shule ni tatizo halafu tunajifanya wajuaji, umempa ufafanuzi mzur sana,
 
wanahifadhi vipi mpaka hazigandi naomba kujifunza?

Truck mixer inazunguka vile kuzunguka tu inasababisha kuto Ganda pia kuna vitambaa vizito vinawekwa ili kulinda zege lisikauke Haraka Na ubora wa mchanganyo unakua pale pale.
 
Nyinyi mko wapi ?
Kufika kimara Suka inaweza kuwa kiasi gani ?
Msingi wa vyumba vinne plus dinning na zile room basic.
Nimepiga hesabu simple
Height=15cm=0.15m
Length=12m
Width=10m
Nyumba ya SQM 120

0.15*10*12=18CBM
1CBM=200,000/-
18*200,000=3,600,000

Kwahio, kwa jamvi la upana wa 15cm nyumba ya SQM 120 utahitaji Tzs 3.6m
 
Nimepiga hesabu simple
Height=15cm=0.15m
Length=12m
Width=10m
Nyumba ya SQM 120

0.15*10*12=18CBM
1CBM=200,000/-
18*200,000=3,600,000M

Kwahio, kwa jamvi la upana wa 15cm nyumba ya SQM 120 utahitaji Tzs 3.6m
Afadhali umenisaidia ,
Niliongea na fundi anadai mpaka niende naye site

Na hata angenielekeza ingechukua muda kumwelewa,
Nina ugumu sana kwenye hizo hesabu.
Shukran tena.
 
Kokoto zinazotumika zinatoka wapi? Durability and strength?
Charge inaongezeka kwa kiasi gani per Km after 10 Km?
What about workmanship at site?
 
We hiyo laki 6 umeipata wapi??,
Chumba kimoja tuseme kitakua na Urefu Mita 3 x Upana Mita 3 x Kina 0.1 Mita
= 0.9CBM (Approx CBM 1 tu)

NB
Kina = 0.1 mita = 10Cm = 0.33 Futi
Ayaaa unazidi mpoteza alishindwa hesabu ya urefu mara kimo mara upana ataweza hiyo
Kwa Mahesabu ya wapi........? kwani chuma chako kitakuwa na Kina cha Mita moja..................?
 
Kokoto zinazotumika zinatoka wapi? Durability and strength?
Charge inaongezeka kwa kiasi gani per Km after 10 Km?
What about workmanship at site?
Kokoto Aina ya granite Umbali Unapozidi zaid ya km 10 Ni tshs.15,000 Kwa Cubic Meter 1. Ambayo Itakua 215,000/- Kwa CBM 1 Kwa ongezeko la zaid ya 10km.kumbuka Bei itapoa Kama unachukua zege nyingi Pia kuanzia 40cbm Na kuendelea....
(Workmanship ipo inclusive kwene bei)
 
Back
Top Bottom