kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Wee ndo hujamwelewa soma tena aya kwa aya.Watanzania bwana, wapi kaandika 50,000/=?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ndo hujamwelewa soma tena aya kwa aya.Watanzania bwana, wapi kaandika 50,000/=?
Aina maana kumbe,kwetu sisi wa chini fundi mangi bado anaitajika m.Kumbuka TShs 200,000/- ina mwagwa Kwa CBM 1. Sawa Na urefu mita 1 upana mita 1 kina mita 1 ambayo Ni Sawa Na 1x1x1=1 M3
Icho kina vha mita moja kwenda chini vha nini ?[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyo
Cub M 1 kwa 226,000? grade 30. ungeanza na 290k ningeanza kukuelewa ila sio kusema 226,000 kwa grade 30,
ungenifanyia mchanganuo ningeelewa umeipataje hiyo 226
Sasa unachopenda kujua Ni kitu gan? Kuongezewa Bei?kama unajua Bei Ni laki 290 Na sisi tuna kuuzia laki 226.hapo jua direct tuna mlenga mtanzania halisia!
Sasa unachopenda kujua Ni kitu gan? Kuongezewa Bei?kama unajua Bei Ni laki 290 Na sisi tuna kuuzia laki 226.hapo jua direct tuna mlenga mtanzania halisia!
hii safi! embu tuwasiliane mkuuKwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa Na ndoo 50 Za lita 20) Kwa TSHS.200,000 tu.wahi sasa ofa hii, ujenge kwa bei nafuu na katika ubora unao takiwa pia tunakodisha aina zote za mitambo na tunauza pia mitambo yote ya earthmoving na building works kwa maelezo zaid usisite piga au Whatsapp +255757020067
Kwa Mahesabu ya wapi........? kwani chuma chako kitakuwa na Kina cha Mita moja..................?[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyo
Mpaka inafika kwangu na kuitumia gharama ni hiyo tu au inakuwajeBei zetu zipo Kwa Grade mnyabulisho Kama ufuatao
C10-190,000/-
C15-195,000/-
C20-200,000/-(inayotumika sana)
C25-208,000/-(Kwa ghorofa itakufaa)
C30-226,000/-
C35-235,000/-
C40-248,000/-
C45-270,000/-
C50-290,000/-
Hizo zote Ni Bei kulingana Na grade Za zege.
Note that C- lnasimamia Kama class.
Nyinyi mko wapi ?200,000 Ni zege iliyo tayari Kwa kumwaga site Na transport inclusive Kwa Umbali ambao Upo ndani ya km 10 kuzunguka pande Zote Za plant yetu.ila inapovuka km 10 charge inaongezeka kidogo Kwa ajili ya charge ya mafuta.
We hiyo laki 6 umeipata wapi??,[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyo
We ni Le Zombie Super MburulazWatanzania bwana, wapi kaandika 50,000/=?
Mnauza/Mnasambaza minimum kuanzia Cubic Meter ngapi??Sawa Na 200,000/- net. Kumwaga zege.
Sidhani kama ameharibu biashara nafikir amejaribu kutufungua akili tusio fahamu na kutetea watumiaji, ubora no kitu cha msingi sanaAnzisha thread yako usiharibu biashara za watu