INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

Sijaharibu, nimeuliza tu.
Haya mambo bana lazima ujiridhishe na Ubora aisee,
Waweza kununua Zege ambalo hujui limekorogwaje ukaenda kuangukiwa na Mjengo,
Si ununue huko gulf kuliko kuja kumuharibia mwenzako biashara.kujifanya mjuaji
 
1. Mkuu bei zenu bado ziko juu kidogo kuliko wenzenu wa Lake, gulf na camel...
2. Kuna tatizo LA wizi wa Zege, hili mtawahakikishia vipi wateja wenu kwamba Zege litamwaga in rightful amounts?
3. Cube tests zikifeli hua mnachukua hatua gani?
 
Bei zetu zipo Kwa Grade mnyabulisho Kama ufuatao
C10-190,000/-
C15-195,000/-
C20-200,000/-(inayotumika sana)
C25-208,000/-(Kwa ghorofa itakufaa)
C30-226,000/-
C35-235,000/-
C40-248,000/-
C45-270,000/-
C50-290,000/-
Hizo zote Ni Bei kulingana Na grade Za zege.
Note that C- lnasimamia Kama class.
safi sana, bei zenu ni nzuri kama viwango vitazingatiwa, namaanisha kama hakutakiwa n'a uchakachuaji. Ofisini zenu ziko wapi mkuu
 
safi sana, bei zenu ni nzuri kama viwango vitazingatiwa, namaanisha kama hakutakiwa n'a uchakachuaji. Ofisini zenu ziko wapi mkuu

Tupo Rita Tower,10 floor,Posta-HQ Kwa Maelezo piga au watsapp+255757020067.
 
1. Mkuu bei zenu bado ziko juu kidogo kuliko wenzenu wa Lake, gulf na camel...
2. Kuna tatizo LA wizi wa Zege, hili mtawahakikishia vipi wateja wenu kwamba Zege litamwaga in rightful amounts?
3. Cube tests zikifeli hua mnachukua hatua gani?

Bei Ni biashara ambazo kila company inapanga kulingana Na ubora Na uimara wa kitu Kama umeona Bei zetu zipo juu Upo huru kwenda kununua Bei zilizo chini.mind you cheap is expensive.kuhusu wizi tutakupa warranty ambayo ita kusecure we mteja wetu!
 
[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyo
Hujaelewa somo.... Kazungumzia one cubic meter, kwahiyo you can spread it the way you want based on thickness na surface area

Kikubwa hapo Ni urefu × Upana × Kimo
 
Hujaelewa somo.... Kazungumzia one cubic meter, kwahiyo you can spread it the way you want based on thickness na surface area

Kikubwa hapo Ni urefu × Upana × Kimo

Excellent!
 
Bei Ni biashara ambazo kila company inapanga kulingana Na ubora Na uimara wa kitu Kama umeona Bei zetu zipo juu Upo huru kwenda kununua Bei zilizo chini.mind you cheap is expensive.kuhusu wizi tutakupa warranty ambayo ita kusecure we mteja wetu!

Ushauri wa bure:jaribu kununua kitu cha aina yeyote mbali Na zege at a reasonable price huto jutia naamin Una akili ya ku weigh things Kwa kutumia common sense yako.
 
Uki ainisha vipimo vyako tutakupa jibu sahihi Ila hatujui upana Ni ngap urefu Ni ngap Na kina Ni ngap hvyo jibu la makadirio Lina Kua gumu Kiongozi.tupe vipimo upewe majibu.
waambie CBM ni cubic meter...

sasa wao wakapime maeneo yao wajue sehemu inayohitaji slab inaweza ikawa na CBM ngapi...

Baada ya hapo ni hesabu ndogo tu ya kuzidisha
 
Bei zetu zipo Kwa Grade mnyabulisho Kama ufuatao
C10-190,000/-
C15-195,000/-
C20-200,000/-(inayotumika sana)
C25-208,000/-(Kwa ghorofa itakufaa)
C30-226,000/-
C35-235,000/-
C40-248,000/-
C45-270,000/-
C50-290,000/-
Hizo zote Ni Bei kulingana Na grade Za zege.
Note that C- lnasimamia Kama class.

Grade 30 226,000? acheni siasa kwenye kazi na wizi? grade 30 kwa 226,000?
 
Uki ainisha vipimo vyako tutakupa jibu sahihi Ila hatujui upana Ni ngap urefu Ni ngap Na kina Ni ngap hvyo jibu la makadirio Lina Kua gumu Kiongozi.tupe vipimo upewe majibu.
Nimeipenda hii vipi CBM ni Cubic Metre ama?
 
We unapendelea Bei yake iwe Tsh ngap Kwa grade 30?Maoni yako yatatusaidia kuboresha HUDUMA!

Cub M 1 kwa 226,000? grade 30. ungeanza na 290k ningeanza kukuelewa ila sio kusema 226,000 kwa grade 30,

ungenifanyia mchanganuo ningeelewa umeipataje hiyo 226
 
Back
Top Bottom