sijaelewa zege iliyotayari ndoo 50 Sh 200,000? au kuchanganya zege kiasi hicho ni 200,000?Kwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa Na ndoo 50 Za lita 20) Kwa TSHS.200,000 tu.wahi sasa ofa hii, ujenge kwa bei nafuu na katika ubora unao takiwa pia tunakodisha aina zote za mitambo na tunauza pia mitambo yote ya earthmoving na building works kwa maelezo zaid usisite piga au Whatsapp +255757020067
Watanzania bwana, wapi kaandika 50,000/=?sijaelewa zege iliyotayari ndoo 50 Sh 200,000? au kuchanganya zege kiasi hicho ni 200,000?
Watanzania bwana, wapi kaandika 50,000/=?
Naona umeedit[emoji1] , safi sanaunaota?
Kwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa Na ndoo 50 Za lita 20) Kwa TSHS.200,000 tu.wahi sasa ofa hii, ujenge kwa bei nafuu na katika ubora unao takiwa pia tunakodisha aina zote za mitambo na tunauza pia mitambo yote ya earthmoving na building works kwa maelezo zaid usisite piga au Whatsapp +255757020067
Bei ikoje based on ratios; kwa matumizi tofauti ya zege? Mfano zege kwa ajili ya ghorofA, daraja etc
Na ndoo ngapi zinaweza ku fill a standard flat surface house ya vyumba vitatu mpaka vinne? Kumbuka sio steep surface!
sijaelewa zege iliyotayari ndoo 50 Sh 200,000? au kuchanganya zege kiasi hicho ni 200,000?
200,000 Ni zege iliyo tayari Kwa kumwaga site Na transport inclusive Kwa Umbali ambao Upo ndani ya km 10 kuzunguka pande Zote Za plant yetu.ila inapovuka km 10 charge inaongezeka kidogo Kwa ajili ya charge ya mafuta.
[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyoKumbuka TShs 200,000/- ina mwagwa Kwa CBM 1. Sawa Na urefu mita 1 upana mita 1 kina mita 1 ambayo Ni Sawa Na 1x1x1=1 M3
Nawajua Gulf Concretes wanafanyaga hizi kazi, na bei zao ni nzuri tena wakikuuzia zege wanakupatia na Cetrificate ya Mkaguzi, wako Mikocheni Barabara ya ITV kule mwisho unakunja kulia karibu na ITV.
Je wewe unatoaga certificate ya vipimo vya maabara ya Zege unalouza??
Anzisha thread yako usiharibu biashara za watuNawajua Gulf Concretes wanafanyaga hizi kazi, na bei zao ni nzuri tena wakikuuzia zege wanakupatia na Cetrificate ya Mkaguzi, wako Mikocheni Barabara ya ITV kule mwisho unakunja kulia karibu na ITV.
Je wewe unatoaga certificate ya vipimo vya maabara ya Zege unalouza??
Sijaharibu, nimeuliza tu.Anzisha thread yako usiharibu biashara za watu