INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

Kumbuka TShs 200,000/- ina mwagwa Kwa CBM 1. Sawa Na urefu mita 1 upana mita 1 kina mita 1 ambayo Ni Sawa Na 1x1x1=1 M3
Aina maana kumbe,kwetu sisi wa chini fundi mangi bado anaitajika m.
 
Cub M 1 kwa 226,000? grade 30. ungeanza na 290k ningeanza kukuelewa ila sio kusema 226,000 kwa grade 30,

ungenifanyia mchanganuo ningeelewa umeipataje hiyo 226

Sasa unachopenda kujua Ni kitu gan? Kuongezewa Bei?kama unajua Bei Ni laki 290 Na sisi tuna kuuzia laki 226.hapo jua direct tuna mlenga mtanzania halisia!
 
Sasa unachopenda kujua Ni kitu gan? Kuongezewa Bei?kama unajua Bei Ni laki 290 Na sisi tuna kuuzia laki 226.hapo jua direct tuna mlenga mtanzania halisia!

Kwa ufupi jua kwamba plant Ni yetu,Mitambo ya operation yetu Magari ya usafirishaji Ni yetu.operation cost zipo chin kwakua plants zetu zipo computerized hatuna sababu ya Kuweka Bei juu.tupo hapa Kwa ajili ya kuboresha maisha yako Na ya mtanzania Kwa Ujumla!
 
Sasa unachopenda kujua Ni kitu gan? Kuongezewa Bei?kama unajua Bei Ni laki 290 Na sisi tuna kuuzia laki 226.hapo jua direct tuna mlenga mtanzania halisia!

Hauwezi uza grade 30 kwa hiyo bei duniani kote kwa 1cm labda udanganye watu wasiojua
 
hii safi! embu tuwasiliane mkuu
 
[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyo
Kwa Mahesabu ya wapi........? kwani chuma chako kitakuwa na Kina cha Mita moja..................?
 
Mpaka inafika kwangu na kuitumia gharama ni hiyo tu au inakuwaje
 
200,000 Ni zege iliyo tayari Kwa kumwaga site Na transport inclusive Kwa Umbali ambao Upo ndani ya km 10 kuzunguka pande Zote Za plant yetu.ila inapovuka km 10 charge inaongezeka kidogo Kwa ajili ya charge ya mafuta.
Nyinyi mko wapi ?
Kufika kimara Suka inaweza kuwa kiasi gani ?
Msingi wa vyumba vinne plus dinning na zile room basic.
 
Nyinyi mko wapi ?
Kufika kimara Suka inaweza kuwa kiasi gani ?
Msingi wa vyumba vinne plus dinning na zile room basic.

Tupe Surface area ya msingi wa nyumba yako.tukupe majibu ofisi zetu HQ Tupo posta Rita tower Ila plant Tupo Mikocheni ITV.
 
[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji11] hatar san chumba kimoja kitaka lk 6 kwamaana hyo
We hiyo laki 6 umeipata wapi??,
Chumba kimoja tuseme kitakua na Urefu Mita 3 x Upana Mita 3 x Kina 0.1 Mita
= 0.9CBM (Approx CBM 1 tu)

NB
Kina = 0.1 mita = 10Cm = 0.33 Futi
 
We hiyo laki 6 umeipata wapi??,
Chumba kimoja tuseme kitakua na Urefu Mita 3 x Upana Mita 3 x Kina 0.1 Mita
= 0.9CBM (Approx CBM 1 tu)

NB
Kina = 0.1 mita = 10Cm = 0.33 Futi

Sawa Na 200,000/- net. Kumwaga zege.
 
wanahifadhi vipi mpaka hazigandi naomba kujifunza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…