Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
Watanzania shule ni tatizo halafu tunajifanya wajuaji, umempa ufafanuzi mzur sana,Hujaelewa somo.... Kazungumzia one cubic meter, kwahiyo you can spread it the way you want based on thickness na surface area
Kikubwa hapo Ni urefu × Upana × Kimo
Nimepiga hesabu simpleNyinyi mko wapi ?
Kufika kimara Suka inaweza kuwa kiasi gani ?
Msingi wa vyumba vinne plus dinning na zile room basic.
Afadhali umenisaidia ,Nimepiga hesabu simple
Height=15cm=0.15m
Length=12m
Width=10m
Nyumba ya SQM 120
0.15*10*12=18CBM
1CBM=200,000/-
18*200,000=3,600,000M
Kwahio, kwa jamvi la upana wa 15cm nyumba ya SQM 120 utahitaji Tzs 3.6m
Ayaaa unazidi mpoteza alishindwa hesabu ya urefu mara kimo mara upana ataweza hiyoWe hiyo laki 6 umeipata wapi??,
Chumba kimoja tuseme kitakua na Urefu Mita 3 x Upana Mita 3 x Kina 0.1 Mita
= 0.9CBM (Approx CBM 1 tu)
NB
Kina = 0.1 mita = 10Cm = 0.33 Futi
Kwa Mahesabu ya wapi........? kwani chuma chako kitakuwa na Kina cha Mita moja..................?
Kokoto Aina ya granite Umbali Unapozidi zaid ya km 10 Ni tshs.15,000 Kwa Cubic Meter 1. Ambayo Itakua 215,000/- Kwa CBM 1 Kwa ongezeko la zaid ya 10km.kumbuka Bei itapoa Kama unachukua zege nyingi Pia kuanzia 40cbm Na kuendelea....Kokoto zinazotumika zinatoka wapi? Durability and strength?
Charge inaongezeka kwa kiasi gani per Km after 10 Km?
What about workmanship at site?