Nuru ya Mama Samia haitaweza kung'ara tena bila kubadilisha vitu hivi!

Nuru ya Mama Samia haitaweza kung'ara tena bila kubadilisha vitu hivi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia

2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika

3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na wafuate sheria

4. Mahakama wasiingiliwe na wanasiasa. Hizi kesi za Chadema zisizo na mbele mpaka nyuma zitakuzika kabisa

Bila haya Mama jiandae na drama kweli kweli kila siku. Katiba mpya ambayo ni huru ndiyo suluhisho hapa
 
Tuachie ukumbusho wa KATIBA BORA na Tume huru kwelilweli ya Uchaguzi
 
downloadfile-22.jpg
downloadfile-12.jpg
 
Kamwe usitegemee katiba mpya kutoka kwa huyo malaya
 
Back
Top Bottom