Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

M
Sesten Zakazaka haya mida hii ya kuja kutupigia zogo imefika. 😎
Mwana kulitaka mwana kulipata! Siku zote tunawaambia Lunyasi levo nyingine jamani,hamuelewi., kisa kina sangoma wanawapa jeuri ya uongo na kweli eti mkiroga kama kawaida yenu basi mtaambulia japo sare!!!🀣🀣🀣

Watu jana wameamua kufungua kitabu, tena zile kurasa za mwanzomwanzo tu, Chura FC si kupoteana huko mpaka yule mtembea juu ya mpira kashindwa kuvumilia aibu kaamua kusepa kabisaa🀣🀣🀣
 
Sema mmetubahatisha tu. 😎😎

Japo yule kocha naye sijui alitumia nini kupanga ile first eleven. Yaani ilikuwa hovyo kabisa. πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…