Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

M
Sesten Zakazaka haya mida hii ya kuja kutupigia zogo imefika. 😎
Mwana kulitaka mwana kulipata! Siku zote tunawaambia Lunyasi levo nyingine jamani,hamuelewi., kisa kina sangoma wanawapa jeuri ya uongo na kweli eti mkiroga kama kawaida yenu basi mtaambulia japo sare!!!🤣🤣🤣

Watu jana wameamua kufungua kitabu, tena zile kurasa za mwanzomwanzo tu, Chura FC si kupoteana huko mpaka yule mtembea juu ya mpira kashindwa kuvumilia aibu kaamua kusepa kabisaa🤣🤣🤣
 
M
Mwana kulitaka mwana kulipata! Siku zote tunawaambie Lunyasi levo nyingine jamani,hamuelewi., kisa kina sangoma wanawapa jeuri ya uongo na kweli eti mkiroga kama kawaida yenu basi mtaambulia japo sare!!!🤣🤣🤣

Watu jana wameamua kufungua kitabu, tena zile kurasa za mwanzomwanzo tu, Chura FC si kupoteana huko mpaka yule mtembea juu ya mpira kashindwa kuvumilia aibu kaamua kusepa kabisaa🤣🤣🤣
Sema mmetubahatisha tu. 😎😎

Japo yule kocha naye sijui alitumia nini kupanga ile first eleven. Yaani ilikuwa hovyo kabisa. 😔
 
Back
Top Bottom