Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Pole mtani mwenzako alifanya maamuzi magumu akaacha kushabikia yanga mkawa mnamponda yeye sasa hivi roho kwatu
Yule 5imba mwenzenu. Shabiki wa kweli ndo kina sisi yaani iwe mvua iwe jua Yanga nitaipenda.

Tena kama kipigo cha jana kimezidisha mapenzi kwa Timu ya Wananchi. 😂

Nikiamini ipo siku kile kichapo tutakirudisha.
 
Aaaah!! Kocha katuuza Ses.
 
Inawezekana kabisa hiyo Mtani mana mi ile tarehe nane nilisogoa mpaka nakuja kushituka ni time ya lunch. 😂😂😂😂
Ukweli tilikumiss wakati wa mpira ulitakiwa uwe live kuwafariji wenzako maana wengi tulikuwa nao kabla ya mpira kuanza baadae hatujui walipata matatizo gani labda walipoteza fahamu baada ya goli la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…