Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yule 5imba mwenzenu. Shabiki wa kweli ndo kina sisi yaani iwe mvua iwe jua Yanga nitaipenda.Pole mtani mwenzako alifanya maamuzi magumu akaacha kushabikia yanga mkawa mnamponda yeye sasa hivi roho kwatu
Tena kama kipigo cha jana kimezidisha mapenzi kwa Timu ya Wananchi. 😂
Nikiamini ipo siku kile kichapo tutakirudisha.