1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hahahah,,, yale maneno tu, mechi ishaisha na maisha mengine inabidi yaendelee,, kilichotokea jana kila mtu kaona,Ahsante mkuu lakini jana ni kipigo kama cha Maneno ya RPC wa dodoma
πππ lakini kikumbukumbu ni vitu viwili tofauti.Shadeeya unanifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3]kufungwa kufungwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah huo ndo ukweli na siku ziye ukweli huwa mchunguHahahah,,, yale maneno tu, mechi ishaisha na maisha mengine inabidi yaendelee,, kilichotokea jana kila mtu kaona,
Hiki kipindi kigumu na inabidi mtulie sanaa na msipotulia mtaanza timua timua matokeo yake mtarudi nyuma zaidi.
Viongozi wetu wamekuwa waongo waongo na janja janja nyingi, mbaya zaidi mtu akiongea ukweli anaonekana msaliti.
[emoji3]Yaah huo ndo ukweli na siku ziye ukweli huwa mchungu
angalia mfano usajili wa morison walisema tayari kasainishwa miaka 2,na wakapost na picha ,lakini baada ya kubaki miezi miwili ndo inajulikana morison ana mkataba wa miezi 6Hahahah,,, yale maneno tu, mechi ishaisha na maisha mengine inabidi yaendelee,, kilichotokea jana kila mtu kaona,
Hiki kipindi kigumu na inabidi mtulie sanaa na msipotulia mtaanza timua timua matokeo yake mtarudi nyuma zaidi.
Viongozi wetu wamekuwa waongo waongo na janja janja nyingi, mbaya zaidi mtu akiongea ukweli anaonekana msaliti.
Hapana, ninataka tu asiendelee kuadhirika. Yule mjomba huwa namkubali sana, hasa akiwa Porto, Chelsea (mara ya kwanza) na Inter Milan.
Baada ya hapo nilianza kuona kama game zinamkataa.
Pacha alikuotesha babu gani eti? πββοΈπββοΈπββοΈ
Hahaha kumbe alishawahi kuwa coach wa Porto!!
Hatari, kama viongoz janja janja hatari sana,,, swala la morrison viongozi waliwadangaya mashabiki,,angalia mfano usajili wa morison walisema tayari kasainishwa miaka 2,na wakapost na picha ,lakini baada ya kubaki miezi miwili ndo inajulikana morison ana mkataba wa miezi 6
Oooh! Sawa Mkuu. [emoji120]
Washabiki ws utopolo wangekuwa wastaarabu kama Shadeeya tungewabeba wapate nafasi ya kushiriki kimataifahata mimi huwa nakukubali kwa utulivu wako mtani!
π¬π¬π¬π¬4G BinamuBinamu Binamu. Lol.
Karibu lau unywe juiceBinamu Chumchang Changchum nasikia leo ni sherehe tu huko leo.