Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam


Mpira wa Africa kwa ujumla haubadiliki, tena nadhani unazidi kushuka kiwango.
 
refa naona yuko kazini kumpa moro kadi nyekundu.

huwezi toa faulo, kadi kwa mtu aliye ingia kukaba amekunja miguu
 
Fafanua haubadiliki vipi? huenda tukawa na majibu
 
sijui ushirikina umeewathiri wachezaji wetu!!
sijui kwa nn hawataki kuwa wabunifu kwa kuiga timu zilizo wazidi uwezo
 
Haya watani kabadilisheni mbinu mrudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…