rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Shadeeya njoo huku tumekumiss
Mbona wengi demu mwenyewe mmoja?
Uongozi wa club ya Simba unawaomba radhi mashabiki kwa ushindi mwembamba walioupata dhidi ya Yanga.
Kazi ya Uganga wa kienyeji inakufaa sana
Huyu mkuu yuko wapi sijamuona kabisa leo mwambie utopolo kafa huku
45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio
UMETISHA MZEE BABA,NAONA ULIICHUNGULIA ULIICHUNGULIA MAPEEEEEEEEMA.45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio
Namungo tulishaamua yanga hapandi ndege mwaka huuHivi simba akichukua kombe zote mbili mshindi wa pili anayeenda kimataifa ni aliye nafasi ya pili ligi kuu au Namungu atakayekwepo fainali ??
kwahiyo mwaka huu wa pili kwenye msimamo wa ligi kama haendi basi yanga wanajutia sana kukutana na simbaNamungo tulishaamua yanga hapandi ndege mwaka huu
Au siyo?View attachment 1505017daima mbele nyuma mwiko