Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Wape Salaaaaam kuwa SIMBA BABA LAO, walikaa na kuongelea tarehe 8/3 kila dkk ilikuwa wimbo huo huo sasa leo mmekiona chamoto *****.
 
255759115979_status_ffbcc8322ad74c9f8c72dbe31424b1c3.jpg
daima mbele nyuma mwiko
 
Hivi simba akichukua kombe zote mbili mshindi wa pili anayeenda kimataifa ni aliye nafasi ya pili ligi kuu au Namungu atakayekwepo fainali ??
 
Back
Top Bottom