Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sasa Mtani huyu utakataa kwamba dishi kuna saa linacheza. 😎Hiyo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Mtani huyu utakataa kwamba dishi kuna saa linacheza. 😎Hiyo hapo
Kuotewa inakuaga kagoli kamoja ka dawa kama kale alikotufungaga Morison, lakini goli nne wasema tumewaotea! Yaani polisi wakikusikia watakukamata aisee😀🤣😀Mpira tu huu Ses mmetuotea basi tumekubali.
Tunajipanga kwa next season.
Nadhani viongozi wetu watajifunza sasa kufuatilia background ya mchezaji baada ya kuingia chaka kwa huyu jamaa.Hiyo hapo
Siyo yeye, sifa zimemponza. Kutoka kuifunga simba hadi kupumzishwa halaf timu ikiwa imepigwa kadhaa. Kwanza ningekuwa mimi mngenkuta nimejifungia chooni.Hiyo hapo
Hahahahaaa. Lol. Ahsante Mtani.🤪🤪 mtani hapo kwenye kuumwa nimecheka kweli. Kws kipigo hicho ni haki uumwe. Pole sikilizia maumivu taaratibu. Siki nyingine ujipange hatutaniwi
Hahahahaaa. Lol. Ahsante Mtani.
Ila tunaganga yajayo sasa.
Daaah!!Mtani mimi nikupe tu pole, sina la zaidi.
Na ka shape kake hako 👩🏻🦱Tshirt nyekundu itampendeza saana
Aendage tuNyie mmemzingua na yeye kawazingua, ngoma droo
Daaah!!
Hiyo tunaita kutepetaKuna video niliona kwa Milard Ayo ile saa mpira unaendelea akasepa zake.
Yule nadhani si mzima.
Atatokelezea hatari kabisa 🤣🤣🤣Na ka shape kake hako 👩🏻🦱
Yaani. lol.Vipi tena Mtani, au pole yangu huitaki?
Naamini kama ni maneno umeshapokea ya kutosha, leo sitaki kukuongezea ya kwangu.
Leo tumuombe atuwekee ka pichaAtatokelezea hatari kabisa 🤣🤣🤣
Ushawahi kusoma shairi la Sungura karukaruka linaitwa " Sizitaki mbichi hizi?"😀😀😀Aendage tu
Kumbe na wewe ni Lunyasi Raynavero?👍🏼👍🏼👍🏼🤣🤣🤣
Yaani. lol.
Ahsante Mtani hapa nilijikuta navuta picha lile goli la Mzamiru. 🙁