Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Mpira tu huu Ses mmetuotea basi tumekubali.

Tunajipanga kwa next season.
Kuotewa inakuaga kagoli kamoja ka dawa kama kale alikotufungaga Morison, lakini goli nne wasema tumewaotea! Yaani polisi wakikusikia watakukamata aisee😀🤣😀
 
Basi Kwa Maana Hio, Hawa Wamebatizwa Kwajina La Utopolofour, Niliwapa Tahadhali Mapema Jana Kuwa Msije Taifa Hamkuelewa, Sasa Kwa Kiwango Walichokionesha
Wekundu Wa Msimbazi
Simba Sc
Mnyama,
Wanalunyas,
Taifa Kubwa,
Wakimataifa,
Mabingwa Wateule Mara 10mfululzo,
Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa,
Timu Inacheza Mpira Wa Viwango Vilivyothibitishwa Nashirikisho La Soccer Africa Caf,
Tulipomchapa Azam 2 Wakasema
Azam Ni Simba B, Sasa Wao Wamekula 4g Cjui Watakua Simba D
 
Back
Top Bottom