Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Van pebles weraayu Mtani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuyagange tu mtani ila hapo bado hakuna timu. Sisi tumewekeza sana jipangeni kama miaka miwili hiviHahahahaaa. Lol. Ahsante Mtani.
Ila tunaganga yajayo sasa.
Haya bana. Wadhania leo nna maneno basi.fluke haijirudii mara mbili..
Binamu Binamu. Lol.
Hakika usemacho Mtani yaani kama tulivyosajili watu zaidi ya kumi ile season ya 2019 / 2020 inaanza ndo kitakachofanyika mwishoni mwa msimu.Tuyagange tu mtani ila hapo bado hakuna timu. Sisi tumewekeza sana jipangeni kama miaka miwili hivi
Kama nakuona. 😎😎😎 Ila Mtani we ni kachawi bana.Masikini daaaah😐
Nimerudi kukwambia..."nilikuonya ila hukusikia"Kama nakuona. [emoji41][emoji41][emoji41] Ila Mtani we ni kachawi bana.
Mana ndo ulinipa ugumu kwenda Uwanjani jana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Liverpool mabingwa kama sisi na hawakua na pressure na ile mechi ujue
😀😀Nimerudi kukwambia..."nilikuonya ila hukusikia"
Mtani kama nilikuona jana ulivyotia huruma..Let's wait and see Mtani.
Doooh.Liverpool mabingwa kama sisi na hawakua na pressure na ile mechi ujue
Alifungwa nne hakufungwa?Liverpool mabingwa kama sisi na hawakua na pressure na ile mechi ujue
Hayo ni maneno ya kujifariji tu..Timu yenu ni mbovu na bora tumewaonesha mjue[emoji3][emoji3]
"DaimaMbeleNyumaMwiko.
Acha kabisa halafu home kwangu wote nguvu moja na wote walivaa jezi. Uwiiiii!! Ilibidi niwe kapole tu mana si kwa kelele lile.Mtani kama nilikuona jana ulivyotia huruma..
Hvi Morrison mtaendelea kumuomba msamaha!?!
refa ali balance mchezo sana kiufundi