Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Acha kabisa halafu home kwangu wote nguvu moja na wote walivaa jezi. Uwiiiii!! Ilibidi niwe kapole tu mana si kwa kelele lile.

Lait viongozi wa Yanga wangekuwa na akili kama zangu angefungashiwa virago akasepa mana anatudhalilisha sana ujue.
Kiukweli Anachofanya Morisson hata sisi kinatukera ila nyie bado mtamchekea.

Pole sana Simba nguvu moja
 
Hahahahaaa. Kama nawaona mtakavyokuwa mnatupigia hizo kelele.

Ila asiyekubali kushindwa si mshindani. Jana soka nimeliona.
Hapo tu ndo nnapokukubali mwanachi wewe... lakini wananchi wenzio huku nnapoishi mimi huku kijijini mwali kabule matombo huku, eti wanasema jana tumenunua mechi na yule mghanaley eti katumika jana!
 
Kiukweli Anachofanya Morisson hata sisi kinatukera ila nyie bado mtamchekea.

Pole sana Simba nguvu moja
Hata na mie naliona hilo kwani ni mara kadhaa anarudia michezo yake ya kijinga na mpaka sasa uongozi umemkalia kimya tu as if amefanya kitu kizuri.

Nishapoa Mtani.
 
Hakika usemacho Mtani yaani kama tulivyosajili watu zaidi ya kumi ile season ya 2019 / 2020 inaanza ndo kitakachofanyika mwishoni mwa msimu.

Ambapo athari zake zinakuwa kubwa mno mojawapo ikiwa timu kukosa muunganiko.

Hivyo kama usemavyo bado tuna misimu miwili au mitatu kuja kupata kikosi kilicho bora ndani ya timu ya Wananchi.
Inahitaji uvumilivu wakati mwingine viongozi na benchi la ufundi wanafanya usajili kwa shinikizo la mashabiki timu bora haipatikani kwa usajili bali wachezaji kukaa pamoja na kuzoeana muda mrefu
 
Hapo tu ndo nnapokukubali mwanachi wewe... lakini wananchi wenzio huku nnapoishi mimi huku kijijini mwali kabule matombo huku, eti wanasema jana tumenunua mechi na yule mghanaley eti katumika jana!
Thanks! 🙏🙏

Mechi ya jana Kocha tu ndo alikosea hesabu zake na mi ndo nitamlaumu kwa hili hayo mengine sijayapa nafasi Mtani.
 
Timu yetu haina ubovu wa kufungwa goli zote zile bana.

Nadhani kocha tu naye alichemsha kuwaanzisha kina Tshishimbi ambao hawana match fitness.
Hata wangekuwa wazima tungewafunga tu.

Nyie ni wazuri kwa Mbeya city na timu nyingine ndogo ila si kwa Simba.

Kwa sasa ni bahati tu ndiyo mnaweza kuipata dhidi yetu ila kwa uwezo ni vyema mkafahamu bado mpo chini sana kwetu mtani fanyeni usajili msijifiche kwenye kivuli cha majeruhi[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom