Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kwa kauli hiyo nimetuliza mizuka Wallaah🤪🤪🤪Doooh.
Kisa ni timuyo eee? (in Emmy Voice) 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kauli hiyo nimetuliza mizuka Wallaah🤪🤪🤪Doooh.
Kisa ni timuyo eee? (in Emmy Voice) 😂😂😂
Kiukweli Anachofanya Morisson hata sisi kinatukera ila nyie bado mtamchekea.Acha kabisa halafu home kwangu wote nguvu moja na wote walivaa jezi. Uwiiiii!! Ilibidi niwe kapole tu mana si kwa kelele lile.
Lait viongozi wa Yanga wangekuwa na akili kama zangu angefungashiwa virago akasepa mana anatudhalilisha sana ujue.
Sawa alifungwa lakini haikua na maana saana kwaoAlifungwa nne hakufungwa?
Timu yetu haina ubovu wa kufungwa goli zote zile bana.Hayo ni maneno ya kujifariji tu..Timu yenu ni mbovu na bora tumewaonesha mjue
😍😍😍Kwa kauli hiyo nimetuliza mizuka Wallaah🤪🤪🤪
Hapo tu ndo nnapokukubali mwanachi wewe... lakini wananchi wenzio huku nnapoishi mimi huku kijijini mwali kabule matombo huku, eti wanasema jana tumenunua mechi na yule mghanaley eti katumika jana!Hahahahaaa. Kama nawaona mtakavyokuwa mnatupigia hizo kelele.
Ila asiyekubali kushindwa si mshindani. Jana soka nimeliona.
Hata na mie naliona hilo kwani ni mara kadhaa anarudia michezo yake ya kijinga na mpaka sasa uongozi umemkalia kimya tu as if amefanya kitu kizuri.Kiukweli Anachofanya Morisson hata sisi kinatukera ila nyie bado mtamchekea.
Pole sana Simba nguvu moja
Swali zuri sana hiliZile Kauli za Simba imechukua Ubingwa kwa kubebwa bado zipo ?
Kauli za kununua Marefa
Leo mmepokea bei gani ?
Nne ni nne tu bana Ses.Sawa alifungwa lakini haikua na maana saana kwao
Inahitaji uvumilivu wakati mwingine viongozi na benchi la ufundi wanafanya usajili kwa shinikizo la mashabiki timu bora haipatikani kwa usajili bali wachezaji kukaa pamoja na kuzoeana muda mrefuHakika usemacho Mtani yaani kama tulivyosajili watu zaidi ya kumi ile season ya 2019 / 2020 inaanza ndo kitakachofanyika mwishoni mwa msimu.
Ambapo athari zake zinakuwa kubwa mno mojawapo ikiwa timu kukosa muunganiko.
Hivyo kama usemavyo bado tuna misimu miwili au mitatu kuja kupata kikosi kilicho bora ndani ya timu ya Wananchi.
Wale Man City kila mara wanchezea kichapo kwa LiverNne ni nne tu bana Ses.
Thanks! 🙏🙏Hapo tu ndo nnapokukubali mwanachi wewe... lakini wananchi wenzio huku nnapoishi mimi huku kijijini mwali kabule matombo huku, eti wanasema jana tumenunua mechi na yule mghanaley eti katumika jana!
Hata wangekuwa wazima tungewafunga tu.Timu yetu haina ubovu wa kufungwa goli zote zile bana.
Nadhani kocha tu naye alichemsha kuwaanzisha kina Tshishimbi ambao hawana match fitness.
Ila Mtani Nikuulize Tu Kwa Ukweli Unajisikiaje? Yaani Kwa Ukweli Kabisaa Na Unamuelezeaje Morrison?Daah!! Ila ndo soka bana Mtani.
Tunaganga yajayo sasa.
Kama 5imba kwa Wananchi. 😂😂😂Wale Man City kila mara wanchezea kichapo kwa Liver