Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Mechi Inayoanza ni Kati ya Mtibwa na JKU (10;00 Jioni) na itafuatiwa na Simba VS Polisi Zenji (2.15 Usiku)

Kwa kuwa leo ni weekend , natarajia Updates toka kona mbalimbali za wana JF wakiongozwa na Msemaji Mteule kwa Mkopo wa Simba humu JF -Makoye Matale akisaidiwa na Mkolaj
 
Mshambuliaji Emmanuel Okwi anatarajia kutua leo nchini na kuungana na wenzake visiwani Zanzibar.

Okwi alipewa ruhusa na uongozi wa Simba kwenda kumalizia fungate ambalo alilikatisha siku chache baada ya kuoa.

Msemaji wa Simba, Humfrey Nyansio amethibitisha kuwa Okwi anatarajia kuingia nchini leo.

"Ni kweli anakuja leo Dar es Salaam na baada ya hapo ataungana na wenzake Zanzibar," alisema Nyansio.

Taarifa nyingine zilieleza Okwi atatua na ndege ya Shirika la Ndege la Rwanda kabla ya kupanda ndege ndogo kwenda Zanzibar kuungana na wenzake ambao kesho watacheza mechi ya Kombe la Mapinduzi hatua ya nusu fainali
 
Huku Tanesco washachukua umeme wao, tunawategemea mtuwekee update hapa jamvini.
 
Mpira bado haujaanza ndio mgeni rasmi anakagua, mpira ilikuwa uanze tangu saa 10 lakini waswahili tusivyojali mda mpaka sasa bado mpira bado haujaanza, ila livepool wanaongoza zidi ya sundaland bao la kwanza dakika ya 9
 
Kona ya kwanza kuelekea langoni kwa mtibwa bado mtibwa 0-0 jku
 
Huku Tanesco washachukua umeme wao, tunawategemea mtuwekee update hapa jamvini.

Pole sana ndugu ila tulia hapa hapa jf utapata yote yanayojiri kutoka uwanja wa Amani hapa zanzibar.
 
Mpira bado haujaanza ndio mgeni rasmi anakagua, mpira ilikuwa uanze tangu saa 10 lakini waswahili tusivyojali mda mpaka sasa bado mpira bado haujaanza, ila livepool wanaongoza zidi ya sundaland bao la kwanza dakika ya 9
kumbuka leo walikua bize na UVCCM
 
[TABLE="class: league-table, width: 468"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"]
flash.gif
48'[/TD]
[TD="class: fh, align: right"]Sunderland[/TD]
[TD="class: fs, align: center"]0 - 1[/TD]
[TD="class: fa"]Liverpoo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kona ya kwanza kuelekea upande wa jku dakika ya 21
 
Kadi ya manjano kwa mchezaji wa jku Ismail Hamis dakika ya 36.
 
Back
Top Bottom