Huku Tanesco washachukua umeme wao, tunawategemea mtuwekee update hapa jamvini.
kumbuka leo walikua bize na UVCCMMpira bado haujaanza ndio mgeni rasmi anakagua, mpira ilikuwa uanze tangu saa 10 lakini waswahili tusivyojali mda mpaka sasa bado mpira bado haujaanza, ila livepool wanaongoza zidi ya sundaland bao la kwanza dakika ya 9