Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

Tanzania na Zambia wapi na wapi...sisi size yetu somalia..sudan kusin..lesotho..yaan wale vibonde vibonde tu..#4G
 
Tanzania wanafanya mabadiliko hapa, Anatoka Elias maguri anaingia Thomas ulimwengu
 
Dakika ya 82
Zambia wanafanya Sub
 
Tanzania wanapata Faulo karibu na lango la Zambia hapa
 
Tanzania wamepata Goli, saimoni msuva
 
Dakika ya 84

Zambia 4 - 2 Tanzania
 
Laaaah msuva kapiga shuti la mbali, Ila limepaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…