Nusuru ndoa yangu

Ww jamaa hiyo profile picha yako inanifanya nishindwe hata kusoma michango yako!
 
ushauri mzuri
 
Aisee watu wema kumbe bado mpo bhana πŸ˜€ πŸ˜€
 


Sema tu wanaume wengi sio waongeaji wa yale wanaofabyiwa na wake zao.
Lakini wanaume wnanyanyasika mno na wake zao majumbani humo.
Wengine hadi wanaumwa magonjwa sababu ya msongo wa mawazo toka kwa wake zao.

Wanaume hawasemi kwa wazazi wao wala ndugu zao ili kuepusha makele zaidi lakini kiukweli nyakati hizi wanaume wanateswa mno na wake zao.

Utakuwa chanzo na Pesa na mali ni za Mwanaume huyo lakini mke haambiliki πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 


Mimi Mungu anisaidie tu lakini nitahakikisha sikai mbali na watoto wangu wa kiume πŸ‘ŒπŸ‘Œ

Kwanini mwanamke atakae kuja kmtawala Mwanaume ?

Tena umtawale kwa Hela zake za jasho lake mwenyewe?

Ukija kwa hila na nia obu ya kuchuma Pesa na mali utaondoka,

BadaΕ‚a ya kuwa chanzo cha Furaha na amani kwa mumeo inakuwa kinyume chake?

Hapana.

Wanawake wengine wanajaa laana vinywani nwao kulaani watoto wa watu na kitajami yawaoate mabaya,

Ndio maana kwenye misiba wanawake siku hizi hawalii wakifiwa na wenzi wao, Wakilia ni unafiki.

Yaani mwanamke hahofii kiwa mjane ?

Uchawi huo.
 
Kidato cha kwanza tulisoma hesabu za simultaneous equation na kuna njia 2 za kusolve japo zingine pia zipo.

1. Elimination method.
Hapa mkuu kama ni biashata ndio imeleta hizo changomoto, simole ,eliminate the causative, ua hiyo biashara arud kuwa mama wa nyumbani, nyang'anya mtaji woote il kama anataka sana biashara aanze yeye kivyake kama asipokusikia wewe baba mwenye nyumba, na aanze hiyo biashara kwa kukiuka katazo lako na hapo Taraka ifuate. Huwez ishi na mwanamke asiye kutii na ukaiota hiyo ni ndo

2. Substitution method.
Hapa kama hutaki kuua biashata na kutagua tatizo by elimation , baa apply substitution. Kama bado unaipemda biashara, muavhise na badili mtu wa kusimamia hiyo biashara ili hizo pesa za ku support life ziendelee ku flow lakin ukiwa ume substitute mkeo na mfanya kazi.

sIo lazima uwe muhasibu ndio uishi kwa kutukia hesabu, zina matukiz mengi.

Pyaar tia neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…