Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Fanya juu chini hilo duka life, kodisha hata majambazi waje waibe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Fanya juu chini hilo duka life, kodisha hata majambazi waje waibe.
Hiyo ndio dawa ila kiburi kimuishe
Ww jamaa hiyo profile picha yako inanifanya nishindwe hata kusoma michango yako!Mkuu pole sana na chukua hii kama itakusaidia.
Kama kweli yupo kwako Kwa ajiri ya family hyo mkeo nakushauri vizia na uuze Kila kitu kwenye kibanda hicho halafu kaa kimyaa.
Iwapo utaona kuanzisha Tena basi jua wazi yupo mwingine zaidi Yako anayeheshimiwa na kupewa heshima yote.
La mwisho na LA muhimu sana
MWANAMKE SIO MAMA YAKO. KWANINI UTESEKE? make it this sentence in English language
Nilitaka niandike hiki hikiFanya juu chini hilo duka life, kodisha hata majambazi waje waibe.
Alooh! 🤨Mfungulie biashara ya duka la 2. Pesa ya Faida afanye matumizi ya nyumbani.
Mpumbavu mpe mali Alooangamie zaidi
I wish angeona hii comment.Mwachie na usijihusishe na chochote kwenye hilo duka. Endelea kufungua miradi mingine kaa huko ukipiga kazi. Usisahau kuwa kwenye maisha kuna wewe mwenyewe bila ya mtu mwingine. Jijali brother
Mkuu mbona tunabaguana?Ww jamaa hiyo profile picha yako inanifanya nishindwe hata kusoma michango yako!
ushauri mzuriNyie watu tunawaonya humu kwenye nyuzi mbalimbali ila hamuzingatii.
Mwanamke usimkabidhi biashara, mweke kama muuzaji tu.
Sasa ameshaona anaweza kuishi bila wewe.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kuweza kuishi bila mwanaume hapo ndoa inakuwa haipo bali mutaishi kimazoea tu.
Hapo vizia upige moto hako la fremu au utumie wahuni wakwapue kila kitu . Then baada ya mwezi mwache huyo nguchiro
Aisee watu wema kumbe bado mpo bhana 😀 😀Ni rahisi sana tu, mkabidhi Kwa Mungu na atamnyoosha Kwa style inayomfaa. Humu JF utatengenezewa stress. Mungu kakupa mtihani, mrudie, mwambie mtihani huo ni mgumu sana unahitaji majibu Kwa Msaada wake… toa ombi hilo kila siku saa 9 usiku Kwa siku 7 mfululizo bila kuchoka Halafu ulete mrejesho humu ndani..
mtumishi wa bwana😂Fanya juu chini hilo duka life, kodisha hata majambazi waje waibe.
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.

BodabodaMigogoro hiyo sio duka wala nini, tayari umemwachia uhuru kupitia dukani ana mahusiano na wanaume, na kuna mtu anampa mapenzi, chunguza vizuri
nadhan wallah, maana unafanya kitu kwa ajili yake na familia, bado haishi mapichapicha.Wanataka roho zenu
inawezekana amepata anayempa kiburi tutajuaje, ila duka life kwanza mengine tutayajua baada ya hapo.Hiyo ndio dawa ila kiburi kimuishe
Hii kali ilikua wapi siku zote..Polee kaka mkubwaa miaka 14 c mchezo umevumilia vingi nazan hata hii ya ss ya mkee kuvaa apendeze akuheshimishee nalo litapitaa .View attachment 3047508