KAka mwanamke atakusikiliza na kukubali kumuongoza ikiwa tu amekupenda kinyume na hapo utaongea na kukasirika kila siku hakuna atakachokusikiza na hakuna mabadiliko utakayoyaona.Simamia hilo duka, wanawake wanapenda kuongozwa kwenye kila kitu ila huwa wanapinga hilo....kama upo kwenye ndoa umenielewa.
hili ndo suluhisho la mwisho duka life..badae ndo atajua je ni duka linampa kiburi au kuna anayempa kiburi.Fanya juu chini hilo duka life, kodisha hata majambazi waje waibe.
Fukuza tu bwan,,mauaji mengi sana saivnadhan wallah, maana unafanya kitu kwa ajili yake na familia, bado haishi mapichapicha.
Vipi hilo duka lisipokufa? Unapanga kuua duka kesho unakuta limejaa na shughuli zinaendelea kama kawaida.hili ndo suluhisho la mwisho duka life..badae ndo atajua je ni duka linampa kiburi au kuna anayempa kiburi.
mm niliapa hakuna mtu wa kunipa tena stress hapa dunian zaid ya mtoto wangu, tukishindwana sepa sina muda wa kupigana mm.Fukuza tu bwan,,mauaji mengi sana saiv
Ivo yaan🤒Hiyo ndoa ilishajifia, mkeo hakuheshimu tena, ni kwanini hakuheshimu sababu ni kwamba yupo anaemuheshimu.
Kusubiri abadilike ni kupoteza muda.
NB:SIJAOA.
hana ubavu huo, kama kuna mtu anampa kiburi anafanya hvo kwa sababu yupo kwenye ndoa na hilo duka, hilo duka likifa na akipata taarifa kuwa anaweza achika, nakuapia atampotezea huyu mwanamke na hatoamini macho yake, wanaume weng wanatembea na wake za watu wakiwa kwa waume zao, wakishaachika hawataki hata kuwasikia,Vipi hilo duka lisipokufa? Unapanga kuua duka kesho unakuta limejaa na shughuli zinaendelea kama kawaida.
Amwachie hilo duka aendelee na mambo mengine vinginevyo ndugu yetu ataugua kichaa akashindwa kufanya shughuli nyingine za kumkomboa kiuchumi. Ukitaka kukosana na mwanamke pangia matumizi pesa anazozitolea jasho. Hata iwe ulimsomesha na kumsaidia ajira au kumpa mtaji, hizo pesa ni zake si za familia.
Aanzishe miradi mingine ila huko hakuna kushirikisha mke. Amwache afanye anachujua. Anunue perfume na viwalo kwa tani yake. Hesabu ibaki kuwa hana duka kwa sasa.
Good experience sharing, (kubadilishana uzoefu)hana ubavu huo, kama kuna mtu anampa kiburi anafanya hvo kwa sababu yupo kwenye ndoa na hilo duka, hilo duka likifa na akipata taarifa kuwa anaweza achika, nakuapia atampotezea huyu mwanamke na hatoamini macho yake, wanaume weng wanatembea na wake za watu wakiwa kwa waume zao, wakishaachika hawataki hata kuwasikia,
Lijitu lina 0ver 37yrs linabadilikaje? Hiyo duka funga mpe kazi ya kulisha nguruwe na kukuHiyo ndoa ilishajifia, mkeo hakuheshimu tena, ni kwanini hakuheshimu sababu ni kwamba yupo anaemuheshimu.
Kusubiri abadilike ni kupoteza muda.
NB:SIJAOA.
nani anataka mzigo dunia hii mkuu?Good experience sharing, (kubadilishana uzoefu)
wanawake ni viazi weng wao, kuna mmoja aliambiwa na nabii fake avunje ndoa atakuwa milionea, sasa hv hata uwezo wa kununua vaseline ya buku hana, wakat kwa mumewe alikuwa anapata mahitaj yote ya msingi.Lijitu lina 0ver 37yrs linabadilikaje? Hiyo duka funga mpe kazi ya kulisha nguruwe na kuku
Hili ni jina la mtu?!
Tena ni jina la aliyeanzisha uziHili ni jina la mtu?!
kwamba hutaoa au ndo utakua unaoa kila mwaka?mm niliapa hakuna mtu wa kunipa tena stress hapa dunian zaid ya mtoto wangu, tukishindwana sepa sina muda wa kupigana mm.