Nusuru ndoa yangu

Nusuru ndoa yangu

Simamia hilo duka, wanawake wanapenda kuongozwa kwenye kila kitu ila huwa wanapinga hilo....kama upo kwenye ndoa umenielewa.
KAka mwanamke atakusikiliza na kukubali kumuongoza ikiwa tu amekupenda kinyume na hapo utaongea na kukasirika kila siku hakuna atakachokusikiza na hakuna mabadiliko utakayoyaona.
 
Ukiona hivyo ujue kisha kuwa na makundi yanayo mshauri ujinga.....elewa kuna sehemu wanamuharibu ajione yuko juu zaidi yako....wewe muweke chini umweleze usichopenda kwake uumpe muda wa kujirekebisha asipobadilika mpeleke kwao akajifunze,asipoomba msamaha kipindi yupo kwao basi elewa hapo Kaka huna Mke na ndoa utakuwa unailazimisha wewe...mwenzako kisha kuchoka.
 
hili ndo suluhisho la mwisho duka life..badae ndo atajua je ni duka linampa kiburi au kuna anayempa kiburi.
Vipi hilo duka lisipokufa? Unapanga kuua duka kesho unakuta limejaa na shughuli zinaendelea kama kawaida.

Amwachie hilo duka aendelee na mambo mengine vinginevyo ndugu yetu ataugua kichaa akashindwa kufanya shughuli nyingine za kumkomboa kiuchumi. Ukitaka kukosana na mwanamke pangia matumizi pesa anazozitolea jasho. Hata iwe ulimsomesha na kumsaidia ajira au kumpa mtaji, hizo pesa ni zake si za familia.

Aanzishe miradi mingine ila huko hakuna kushirikisha mke. Amwache afanye anachujua. Anunue perfume na viwalo kwa tani yake. Hesabu ibaki kuwa hana duka kwa sasa.
 
Sheria no 1.

Hakikisha mwanamke/mke wako hakuzidi pesa.

Mambo yakumfungulia mwanamke biashara ni maamuzi ya hovyo.

Kama anataka pesa fungua wewe biashara mwajiri.

Mwanaume usipokuwa na control juu ya mwanamke kifedha, fahamu ipo siku atakuletea ujinga, haijalishi mmekuwa pamoja muda gani.
 
Sasa nimesoma sana comments zenu ngoja na Mimi nimshauri ........eeh kwanza kabisa ndoa ni .....eeeh eeeh, eeeh , sawa, komaa.
 
Vipi hilo duka lisipokufa? Unapanga kuua duka kesho unakuta limejaa na shughuli zinaendelea kama kawaida.

Amwachie hilo duka aendelee na mambo mengine vinginevyo ndugu yetu ataugua kichaa akashindwa kufanya shughuli nyingine za kumkomboa kiuchumi. Ukitaka kukosana na mwanamke pangia matumizi pesa anazozitolea jasho. Hata iwe ulimsomesha na kumsaidia ajira au kumpa mtaji, hizo pesa ni zake si za familia.

Aanzishe miradi mingine ila huko hakuna kushirikisha mke. Amwache afanye anachujua. Anunue perfume na viwalo kwa tani yake. Hesabu ibaki kuwa hana duka kwa sasa.
hana ubavu huo, kama kuna mtu anampa kiburi anafanya hvo kwa sababu yupo kwenye ndoa na hilo duka, hilo duka likifa na akipata taarifa kuwa anaweza achika, nakuapia atampotezea huyu mwanamke na hatoamini macho yake, wanaume weng wanatembea na wake za watu wakiwa kwa waume zao, wakishaachika hawataki hata kuwasikia,
 
Good experience sharing, (kubadilishana uzoefu)
 
Lijitu lina 0ver 37yrs linabadilikaje? Hiyo duka funga mpe kazi ya kulisha nguruwe na kuku
wanawake ni viazi weng wao, kuna mmoja aliambiwa na nabii fake avunje ndoa atakuwa milionea, sasa hv hata uwezo wa kununua vaseline ya buku hana, wakat kwa mumewe alikuwa anapata mahitaj yote ya msingi.
 
Back
Top Bottom