Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
KAka mwanamke atakusikiliza na kukubali kumuongoza ikiwa tu amekupenda kinyume na hapo utaongea na kukasirika kila siku hakuna atakachokusikiza na hakuna mabadiliko utakayoyaona.Simamia hilo duka, wanawake wanapenda kuongozwa kwenye kila kitu ila huwa wanapinga hilo....kama upo kwenye ndoa umenielewa.