Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

Kwahiyo ilivyo nyesha kama leo, viwele vitakua vinaelea daslam nzima ehhh...😜
 
Jina lako na mada ulioleta haviendani,, badili jina
kaona mavi town yanaelea kama ngalawa na mitumbwi vinavyopishana huko nungwi yaani,

Ameumia moyoni kijana huyo, ameshindwa kuvumilia aibu hiyo, ameona hatari ya milipuko ya magonjwa ya kuhara na kuhara damu, kichocho na kipindukapinduka msimu huu muhimu wa maembe ....
 
Hawa ndio mwaka wa kwanza wametoka mikoani sasa wanajifanya wajuaji wa mji
Kwamba Dar ni mbinguni wala pasisemwe hata kidogo changamoto zake?

Former RC Makonda alifanikiwaga kiasi kikubwa sana kuzuia huo ujinga, Mawatu yasiyothamini afya za wengine yapo Dar tena yamejaa tele.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Weka picha au video tuone ..

Unaandika uzi na kutoa generalization utafikiri Dar iko hivyo mji wote ,fika Buza kisha uje ufute uzi wako sawa ?
 
Kuna umuhimu wa kuvaa rain boots kwa kweli.
 
Back
Top Bottom