Nyakati za sikukuu ni wakati ambao wanaume wawe makini

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Kwenye hizi nyakati za sikuu kuu watu huwa wanachakatiwa mbususu mno,walahi ukiomba mbususu ya mke wa mtu wakati huu na ukinyimwa nenda ukaoge baharini, kwenye kipindi Kama hiki mwanamume Kama huna fungu la kutosha jiandae kisaikolojia.

Kuna Mambo Kama manne hivi huwa yanashughulisha sana wamama wakati Kama huu;
1. Kusuka
2. Watoto kuvaa
3. Kuvaa
4. Kula.

Kama wewe Ni baba una familia hakikisha hivi vitu vinanapatikana vyema nyakati za sikukuu vinginevyo utakuja juta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…