Nyakati zinabadilika: AS Vita na Mazembe hawapo mashindano ya CAF

Kama kipimo ni Al Ahly kwenye mashindano ya AFL ilitoka sare na Simba nyumbani (2-2) na ugenini (1-1), tena sare za kufungana. Je Simba ni bora kuliko Yanga?
Mzee umedakia mada pasipo kujua imeanzia wapi, Yanga ni bora kuliko Simba kwasababu Simba kafungwa mara tano mfululizo. Hiyo ndio hoja iliyopo. Haya jadili ni kweli ama si kweli?
 
Hatua ya awali?
Kati ya Simba na Yanga ni timu imeanza kucheza fainali ya CAFCC? kama kukamia ni jambo jepesi hivyo katika kushinda mechi, ni nani aliyewazuia kukamia mechi ili mshinde dhidi ya Yanga?
Umefungwa goli 2 kavu kwenye mechi muhimu ambayo ukishinda tu unakuwa bingwa na NBC lakini umeshindwa hata kupata sare mbele ya Yanga.
Kubali umefungwa na Yanga kwavile kakuzidi ubora, umetoa mfano wa Tabora, ni kweli Tabora alimfunga Yanga, ila hakuweza kumfunga Yanga mfululizo, maanake alibahatisha. Ila wewe kufungwa mara tano mfululizo sio kwamba ni bahati nasibu bali uwezo hauna.
Tatizo siyo kufika fainali tatizo mmefika mkiwa na kikosi gani ninyi si mnasema mlifika huko sababu mlikuwa na kikosi bora lakini simba wamefika huko huko wakiwa na kikosi kibovu, wachezaji kushindwa kukamia mechi kuna sababu nyingi hasa wachezaji wenye malengo makubwa wengi wanaogopa wakipata majeraha watakaa sana benchi na kiwango kushuka hivyo kushindwa kuuzika kwenye timu kubwa, ila wachezaji wengi wa yanga hawana malengo makubwa ndio maana tuliona huo msimu juzi kina pacome waliumia kwenye mechi na azam wakakosekana kwenye hizo mechi na mamelodi, na jiulize mbona pamoja na ubora wao wote hatusikii kama kuna timu yoyote kubwa inawataka sana sana mmeishia kutunga propaganda kuhusu mzize tu, ila simba tunaona kuna wachezaji timu kubwa zinawataka ndio mjue kwamba kuna tofauti kati ya wachezaji bora na wakamiaji mambo ya kusema sijui tabora waliwabahatisha mbona hawakuwabahatisha simba sasa
 
Mzee umedakia mada pasipo kujua imeanzia wapi, Yanga ni bora kuliko Simba kwasababu Simba kafungwa mara tano mfululizo. Hiyo ndio hoja iliyopo. Haya jadili ni kweli ama si kweli?
Oohh kwahiyo barcelona ni bora kuliko real madrid kwa sababu wamewafunga mara tano mfululizo au unataka kusemaje
 
Tatizo siyo kufika fainali tatizo mmefika mkiwa na kikosi gani ninyi si mnasema mlifika huko sababu mlikuwa na kikosi bora lakini simba wamefika huko huko wakiwa na kikosi kibovu,
Hoja sio kikosi cha namna gani bali unacheza na timu za kiwango gani, kipimo chako ni Berkane na Yanga ikatosha kuhitimisha kuwa haukuwa na ubora bali ulikutana na timu mbovu ndio maana umeshindwa kupata matokeo kwa Yanga kila unapocheza nae na Berkane ukamshindwa ukalilia na uwanja wa Mkapa.
 
wachezaji wenye malengo makubwa wengi wanaogopa wakipata majeraha watakaa sana benchi na kiwango kushuka hivyo kushindwa kuuzika kwenye timu kubwa, ila wachezaji wengi wa yanga hawana malengo makubwa ndio maana tuliona huo msimu juzi kina pacome waliumia kwenye mechi na azam wakakosekana kwenye hizo mechi na mamelodi, na jiulize mbona pamoja na ubora wao wote hatusikii kama kuna timu yoyote kubwa inawataka sana sana mmeishia kutunga propaganda kuhusu mzize tu, ila simba tunaona kuna wachezaji timu kubwa zinawataka ndio mjue kwamba kuna tofauti kati ya wachezaji bora na wakamiaji mambo ya kusema sijui tabora waliwabahatisha mbona hawakuwabahatisha simba sasa

Mayele na Azizi Ki walikuwa wanacheza timu gani wakati wanasajiliwa na Wydad na Pyramids? Profile ya Mayele kule Pyramids kuna mchezaji yeyote wa Simba anaweza kuifikia? Hapo kati ya Simba na Yanga ni wapi kiwanda cha kutengeneza wachezaji wakubwa?
Ingekuwa ishu ya Mzize ni propaganda, wakala sijui ni mwanasheria wake (Jasmine) asingeonekana kuingilia kati.
 
Kinyonge sana
20250910_065909.jpg
 
Hoja sio kikosi cha namna gani bali unacheza na timu za kiwango gani, kipimo chako ni Berkane na Yanga ikatosha kuhitimisha kuwa haukuwa na ubora bali ulikutana na timu mbovu ndio maana umeshindwa kupata matokeo kwa Yanga kila unapocheza nae na Berkane ukamshindwa ukalilia na uwanja wa Mkapa.
Ndio maana nikasema wakati ninyi mnafika fainali ndio mnadhani mlikutana na timu ngumu yani wale kina rivers mabingwa wa ligi dhaifu ya nigeria pamoja na marumo ambao walikuwa wanashuka daraja huko south, ndio unataka kujisifia kwamba mlikutana na timu ngumu ilihali simba kwenye hatua ya robo na nusu walicheza na timu ambazo zimemaliza top four kwenye ligi zao tena ligi ngumu, haya bado ukiwa na hiko kikosi bora ukashindwa kubeba kombe mbele ya ile timu dhaifu kama alger ambao lile kombe ndio lilikuwa la kwanza kwao tofauti na berkane ambao hili kwao ni kombe la tatu, na ukizingatia msimu ulioisha ndio wamemaliza mabingwa wa morocco kwa mara ya kwanza yani najaribu kukuonesha kati ya simba na yanga ni kina nani walikutana na timu ngumu hadi kufika hiyo fainali ya shirikisho, na hapo kumbuka ninyi mnasema mlikuwa na kikosi bora ila simba walikuwa na kikosi dhaifu hayo masuala ya kutaka uwanja fulani wala siyo ajabu ninyi wenyewe mbona mlikimbia chamazi mkatoa sababu za kitoto na kuwachafua azam
Mayele na Azizi Ki walikuwa wanacheza timu gani wakati wanasajiliwa na Wydad na Pyramids? Profile ya Mayele kule Pyramids kuna mchezaji yeyote wa Simba anaweza kuifikia? Hapo kati ya Simba na Yanga ni wapi kiwanda cha kutengeneza wachezaji wakubwa?
Ingekuwa ishu ya Mzize ni propaganda, wakala sijui ni mwanasheria wake (Jasmine) asingeonekana kuingilia kati.
Sasa aziz kaenda wydad hii ambayo imeshuka kiwango na mayele alienda pyramids ikiwa bado inajitafuta au unadhani pyramids ni timu kubwa toka kitambo sijui kama unajua maana ya timu kubwa, pyramids imeibuka hivi karibuni wala si timu kubwa na pengine batch ya kina mayele ndio imesaidia pyramids kufika hapo ilipo, sasa hizo transfers huwezi kuzifananisha na kama ya miquissone kuenda ahly au chama kuenda berkane hapo ndio tunasema wameenda timu kubwa, kuhusu mzize labda kama wewe hujui ila wakala wake alikuwa anaongelea timu iliyomtaka mara ya kwanza ya huko qatar ambayo hata haijulikani, hayo mengine ya kusema kuna timu zimeleta ofa za dola milioni moja ni propaganda kama propaganda nyingine yanga wameamua kutambaa na beat tu ila hakuna timu inayoweza kukataa bilioni mbili kwa mchezaji kama mzize msitufanye vikaragosi
 
Ndio maana nikasema wakati ninyi mnafika fainali ndio mnadhani mlikutana na timu ngumu yani wale kina rivers mabingwa wa ligi dhaifu ya nigeria pamoja na marumo ambao walikuwa wanashuka daraja huko south, ndio unataka kujisifia kwamba mlikutana na timu ngumu ilihali simba kwenye hatua ya robo na nusu walicheza na timu ambazo zimemaliza top four kwenye ligi zao tena ligi ngumu, haya bado ukiwa na hiko kikosi bora ukashindwa kubeba kombe mbele ya ile timu dhaifu kama alger ambao lile kombe ndio lilikuwa la kwanza kwao tofauti na berkane ambao hili kwao ni kombe la tatu, na ukizingatia msimu ulioisha ndio wamemaliza mabingwa wa morocco kwa mara ya kwanza yani najaribu kukuonesha kati ya simba na yanga ni kina nani walikutana na timu ngumu hadi kufika hiyo fainali ya shirikisho, na hapo kumbuka ninyi mnasema mlikuwa na kikosi bora ila simba walikuwa na kikosi dhaifu hayo masuala ya kutaka uwanja fulani wala siyo ajabu ninyi wenyewe mbona mlikimbia chamazi mkatoa sababu za kitoto na kuwachafua azam

Sasa aziz kaenda wydad hii ambayo imeshuka kiwango na mayele alienda pyramids ikiwa bado inajitafuta au unadhani pyramids ni timu kubwa toka kitambo sijui kama unajua maana ya timu kubwa, pyramids imeibuka hivi karibuni wala si timu kubwa na pengine batch ya kina mayele ndio imesaidia pyramids kufika hapo ilipo, sasa hizo transfers huwezi kuzifananisha na kama ya miquissone kuenda ahly au chama kuenda berkane hapo ndio tunasema wameenda timu kubwa, kuhusu mzize labda kama wewe hujui ila wakala wake alikuwa anaongelea timu iliyomtaka mara ya kwanza ya huko qatar ambayo hata haijulikani, hayo mengine ya kusema kuna timu zimeleta ofa za dola milioni moja ni propaganda kama propaganda nyingine yanga wameamua kutambaa na beat tu ila hakuna timu inayoweza kukataa bilioni mbili kwa mchezaji kama mzize msitufanye vikaragosi
Kwani tunalinganisha Yanga na timu gani? Si ni Yanga vs Simba ama? Mbona maneno mengi yanakutoka wakati majibu ya uwanjani yana thibitisha kuwa Yanga ni bora kuliko Simba na ndio maana kafungwa mfululizo. Mbona swala jepesi tu. Yanga alikutana na timu dhaifu kwenye kombe la shirikisho kama Simba ilivyokutana na timu dhaifu.
Tuache kulinganisha Simba ilicheza na nani, twende kwenye head to head itoe majibu kama Simba imeweza kumfunga Yanga.

Ili ufurahi zaidi nakiri kabisa kuwa Simba ina kikosi kizuri na bora kuliko Yanga kama ulivyosema huko juu, haya kwanini hiki kikosi chako unachoona bora kishindwe kupata matokeo mbele ya Yanga mechi tano mfululizo?
 
Kam
Lakini hiyo simba mbovu imefika fainali ya cafcc ambayo yanga ilifika ikiwa na kikosi bora, yani simba na ubovu wake wote haijawahi kuishia makundi kimataifa kwenye misimu ya hivi karibuni, msimu juzi simba mbovu iliishia robo fainali cafcl kama tu yanga iliyokuwa bora, yani kwa kifupi mahali ambapo yanga inafika ikiwa bora simba ina uwezo wa kufika ikiwa mbovu, kama hapo mlipo mnajiona bora halafu kimataifa mnaishia makundi basi siku mkirudi kuwa wabovu tu kwisha habari yenu
Kama Simba mbovu inafika robo fainali na fainali, Simba bora huwa inaishia wapi?
 
Kwani tunalinganisha Yanga na timu gani? Si ni Yanga vs Simba ama? Mbona maneno mengi yanakutoka wakati majibu ya uwanjani yana thibitisha kuwa Yanga ni bora kuliko Simba na ndio maana kafungwa mfululizo. Mbona swala jepesi tu. Yanga alikutana na timu dhaifu kwenye kombe la shirikisho kama Simba ilivyokutana na timu dhaifu.
Tuache kulinganisha Simba ilicheza na nani, twende kwenye head to head itoe majibu kama Simba imeweza kumfunga Yanga.

Ili ufurahi zaidi nakiri kabisa kuwa Simba ina kikosi kizuri na bora kuliko Yanga kama ulivyosema huko juu, haya kwanini hiki kikosi chako unachoona bora kishindwe kupata matokeo mbele ya Yanga mechi tano mfululizo?
Sasa kwani mimi nimesemaje mbona ni kama umesahau huu mjadala ulipoanzia wewe si ulisema simba wabovu mimi nikakuambia, mahali ambapo simba wanafika wakiwa wabovu yanga wanafika wakiwa bora kwa maana yanga wakiwa wabovu hawawezi kufika mahali ambapo simba wanafika wakiwa wabovu, kwahiyo sisi hatuna shida mkituita wabovu walau tunajua kwamba kama ni wabovu na tumefika hapo tulipo basi siku tukiwa bora tutafika zaidi ya hapo
 
Kam
Kama Simba mbovu inafika robo fainali na fainali, Simba bora huwa inaishia wapi?
Hapana kwa mujibu wenu simba haijawahi kuwa bora ila yanga tu ndio bora, kwahiyo wote hatujui siku simba ikiwa bora itafika wapi, ila tumeshaiona yanga bora uwezo wake ulipoishia
 
Sasa kwani mimi nimesemaje mbona ni kama umesahau huu mjadala ulipoanzia wewe si ulisema simba wabovu mimi nikakuambia, mahali ambapo simba wanafika wakiwa wabovu yanga wanafika wakiwa bora kwa maana yanga wakiwa wabovu hawawezi kufika mahali ambapo simba wanafika wakiwa wabovu, kwahiyo sisi hatuna shida mkituita wabovu walau tunajua kwamba kama ni wabovu na tumefika hapo tulipo basi siku tukiwa bora tutafika zaidi ya hapo
Mjadala umeanzia kwenye jibu la post namba 4 akijibiwa aliyesema Yanga inajisifu kuifunga Tp Mazembe mbovu; ambapo swali limeulizwa mbona Simba anafungwa na Yanga mfululizo je Simba ni mbovu? Shabiki mwenzio kajibu ndio. Wewe ukaja na gazeti la hadithi za Sani.

Haya njoo useme kwanini Simba inafungwa hovyo na Yanga na jana ikakubali kipigo cha sita mfululizo.
 
Sasa si ndio nilikuja na hilo gazeti kuelezea mahali ambapo simba inafika ikiwa mbovu kulinganisha na yanga inapofika ikiwa mbovu, halafu hamjui tu yani mnavyokazania kwamba simba ni mbovu maana yake mnaidogosha yanga kwamba hawawezi kuifunga simba ikiwa bora, yani ni kama mnajaribu kusema yanga hawezi kuifunga simba bora maana yake yanga anaweza kuifunga simba ikiwa mbovu tu, kwahiyo siku simba ikiwa bora tutegemee yanga ndio watafungwa sana hivyo kwa sasa tufanye tu kwamba simba ni mbovu kwa mujibu wenu, maana ukiangalia ni kweli yanga hawana uwezo wa kuifunga simba ikiwa kwenye ubora wake ila simba ina uwezo wa kuifunga yanga ikiwa bora
 
Jadda kama Jadda unaizungumziaje mechi ya jana?

Au ulishajua kitakachotokea?
 
Klabu kubwa Afrika Tp Mazembe na As Vital Club [emoji1078] hazijakidhi kufuzu mashindano ya kimataifa msimu huu.

Timu zilizofuzu nchini Congo

[emoji736] Ligi ya Mabingwa Afrika:
•Eagle du Congo (Bingwa wa Ligi) [emoji471]
•Saint Eloy Lupopo (nafasi ya pili)[emoji298]️

[emoji736] Kombe la Shirikisho:
•Union Maniema (nafasi ya 3)
•AS Simba (Bingwa wa Kombe la Rais) [emoji966]
Tatizo ni ukata, ligi ya Congo DR imejaa ukata na vilabu navyo vina ukata ndomana ligi ilishindikana kuisha so walituma majina ya team zilizokuwa zinaongoza msimamo
 
Mjadala umeanzia kwenye jibu la post namba 4 akijibiwa aliyesema Yanga inajisifu kuifunga Tp Mazembe mbovu; ambapo swali limeulizwa mbona Simba anafungwa na Yanga mfululizo je Simba ni mbovu? Shabiki mwenzio kajibu ndio. Wewe ukaja na gazeti la hadithi za Sani.

Haya njoo useme kwanini Simba inafungwa hovyo na Yanga na jana ikakubali kipigo cha sita mfululizo.
Na Mazembe kwa hiyo nafasi aliyopo kapokwa points, kwahiyo sio mbovu kama jamaa anavyodai.

Kolo wajipange upya, waachane na propaganda za mafanikio yaliyopita, waachane na faraja za rank, waachane na ujanja ujanja wa semaji la caf.
Wanapumbazwa na wanapumbazika sana.

Timu zinahitaji vikombe wao wanahitaji rank za caf na kucheza pira biriani.
Msimu jana wametoka kapa, mwenzao kazoa ya kutosha wao wanajisifu kufika fainali na hawajaramba kitu.

Watafakari sana malengo yao aisee, si ajabu wanajiwekea malengo makubwa kila pahala, mwisho wa siku wanashindwa kuyafikia.

Mfano msimu huu Yanga, lengo lao kimataifa ni kufika kwanza makundi kama ilivyokua msimu jana, na kubeba makombe ya ndani.
 
Jadda kama Jadda unaizungumziaje mechi ya jana?

Au ulishajua kitakachotokea?

Jadda unajieleza sana.
Acha tuige usemi wa tajiri
"Yanga bingwa".
Si nimeshasema hapo kwamba yanga hawana uwezo wa kuifunga simba ikiwa bora kwahiyo tufanye simba kwa sasa ni wabovu kama mnavyodai ndio maana yanga wanaweza kuwafunga, lakini siku simba ikiwa bora basi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni ila simba hata wakiwa wabovu wana uwezo wa kuifunga yanga ikiwa bora, anyway msisahau kufanya vizuri na kimataifa kuwazidi simba ili watu wasitilie mashaka huu ushindi wenu wa ndani maana msimu uliopita mlisingizia tulicheza mashindano ya kina mama na timu ndogo sasa safari hii sijui mtakuja na kisingizio gani
 
Back
Top Bottom