Mayele alisema Yanga wanamtupia majini, sasa hiyo ni baada ya yeye kusepa, aliwashushia Yanga lawama kwa kiwango chake kibovu ila Yanga hawakuhusika.
Ila Ngoma kathibitisha kabisa kua na yeye ni muhusika na kashuhudia kabisa na kashiriki.
Mkuu sielewi ambacho unabishania kimataifa ni nini hasa, ujue timu zinazofanya vizuri kimataifa ni qlmost zilezile, na kama ukabahatika kama simba ukafanya vizuri mfululizo ni wazi utakua katika nafasi nzuri kwa muda mrefu.
Ile misimu Simba kaingia robo mara nne mfululizo ndio ile ambayo iliwapandisha.
Hata Yanga kutoka huko makalioni walikokua mpaka kua top 15 sio kazi ndogo.