Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Tafuteni makombe mnyanyue kwapa.Si nimeshasema hapo kwamba yanga hawana uwezo wa kuifunga simba ikiwa bora kwahiyo tufanye simba kwa sasa ni wabovu kama mnavyodai ndio maana yanga wanaweza kuwafunga, lakini siku simba ikiwa bora basi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni ila simba hata wakiwa wabovu wana uwezo wa kuifunga yanga ikiwa bora, anyway msisahau kufanya vizuri na kimataifa kuwazidi simba ili watu wasitilie mashaka huu ushindi wenu wa ndani maana msimu uliopita mlisingizia tulicheza mashindano ya kina mama na timu ndogo sasa safari hii sijui mtakuja na kisingizio gani
Sasa sisi kutafuta makombe ninyi kunawahusu nini yani pamoja na kwamba mnabeba makombe na mnatufunga ila bado tunawaumiza vichwa kwa maneno yetu tu, mnatumia nguvu kubwa kujitetea na kuwajibu simba kila wanachosema na wanachofanya maana mnateswa na maneno yao tu sasa wakianza kuchukua tena makombe je, mimi nilitegemea huo ubingwa wenu ndio uwatetee kwa vitendo badala yake mnaona haitoshi bado mnatumia na maneno tena kuwajibu simba yani ni kama hamjiamini na makombe yenu na hapo mnayo ila mnateswa sasa mkianza kuyakosa jeTafuteni makombe mnyanyue kwapa.
"Yanga bingwa".
Hata Arsenal alipokua mbovu Man U hawakuacha kuwadiss kila wanapopoteza au kushinda, ni washindani na mashabiki ni watani.Sasa sisi kutafuta makombe ninyi kunawahusu nini yani pamoja na kwamba mnabeba makombe na mnatufunga ila bado tunawaumiza vichwa kwa maneno yetu tu, mnatumia nguvu kubwa kujitetea na kuwajibu simba kila wanachosema na wanachofanya maana mnateswa na maneno yao tu sasa wakianza kuchukua tena makombe je, mimi nilitegemea huo ubingwa wenu ndio uwatetee kwa vitendo badala yake mnaona haitoshi bado mnatumia na maneno tena kuwajibu simba yani ni kama hamjiamini na makombe yenu na hapo mnayo ila mnateswa sasa mkianza kuyakosa je
Inategemea mnawadiss kwenye nini ninyi mnawadiss hadi kwenye petty issues yani kila simba wanachosema lazima mjitetee au kila wanachofanya lazima mjibu na mbaya zaidi hii siyo kwa mashabiki tu bali hadi kwa viongozi wenu, kwa taarifa nilizonazo ni kwamba fadlu yuko botswana pamoja na timu na amepewa mechi nyingine kadhaa za kufanya vizuri na hata kama akiondoka haitakuwa kwa sababu ya kufungwa na yanga tu, hayo mengine ni muendelezo tu wa propaganda zenu za kutaka kuivuruga simba baada ya kuona mambo yanaweza kuwa magumu kwenu huko kimataifa ndio maana nasema yanga mlichotuzidi simba ni propaganda na mbinu za nje ya uwanja tuHata Arsenal alipokua mbovu Man U hawakuacha kuwadiss kila wanapopoteza au kushinda, ni washindani na mashabiki ni watani.
Sembuse Simba na Yanga timu za eneo moja, watani wa jadi miaka na mikaka.
Hilo ni la kawaida, sasa tukiacha kumsema kolo tumseme nani ilhali huyo ndo mshindani wetu ambae kidogo anatuchallenge.
Naskia Fadlu anataka kusepa, ni ya kweli hayo??
Ndio raha ya soka hiyo mkuu, wala sio propaganda nje ya uwanja tu hata ndani tunakiwasha vilivyo.Inategemea mnawadiss kwenye nini ninyi mnawadiss hadi kwenye petty issues yani kila simba wanachosema lazima mjitetee au kila wanachofanya lazima mjibu na mbaya zaidi hii siyo kwa mashabiki tu bali hadi kwa viongozi wenu, kwa taarifa nilizonazo ni kwamba fadlu yuko botswana pamoja na timu na amepewa mechi nyingine kadhaa za kufanya vizuri na hata kama akiondoka haitakuwa kwa sababu ya kufungwa na yanga tu, hayo mengine ni muendelezo tu wa propaganda zenu za kutaka kuivuruga simba baada ya kuona mambo yanaweza kuwa magumu kwenu huko kimataifa ndio maana nasema yanga mlichotuzidi simba ni propaganda na mbinu za nje ya uwanja tu
View attachment 3475884
Amekujibu?Wewe mbona umefungwa mara 5 mfululizo au na wewe mbovu kama mazembe?
Kolo amejibu anasema ndio wana timu mbovu.Amekujibu?
Ila huyo my wetu tunajipigia tuKolo amejibu anasema ndio wana timu mbovu.
Kolo ni my wetu tunajipigia kadri tupendavyo.Ila huyo my wetu tunajipigia tu
Next derby tunajipigia tena mara ya 7 mfululizo.Kolo ni my wetu tunajipigia kadri tupendavyo.
Ndio maana nikasema tufanye simba ni mbovu ili ithibitike kwamba yanga kamwe hawawezi kuifunga simba bora wanasubiri hadi iwe mbovu, ilihali simba wanaweza kuifunga yanga bora na mahali ambapo simba inafika ikiwa mbovu yanga ni hadi iwe bora ndio inaweza kufika, sisi hatuongei sana yani tunataka mjimalize hivi hivi halafu huko kimataifa muishie makundi simba wafike hata nusu fainali ndio mtueleze vizuri huo ubora wenu uko wapiNdio raha ya soka hiyo mkuu, wala sio propaganda nje ya uwanja tu hata ndani tunakiwasha vilivyo.
Kwasasa Yanga ni timu pekee bora nchini.
Sijui unarefer rekodi gani lakini Yanga kipindi ni hohehahe, kajamba nani , yanga ya bakuli.Ndio maana nikasema tufanye simba ni mbovu ili ithibitike kwamba yanga kamwe hawawezi kuifunga simba bora wanasubiri hadi iwe mbovu, ilihali simba wanaweza kuifunga yanga bora na mahali ambapo simba inafika ikiwa mbovu yanga ni hadi iwe bora ndio inaweza kufika, sisi hatuongei sana yani tunataka mjimalize hivi hivi halafu huko kimataifa muishie makundi simba wafike hata nusu fainali ndio mtueleze vizuri huo ubora wenu uko wapi
Sasa wewe unayejisifia kumfunga simba mara sita mfululizo una tofauti gani na simba anayejisifia kucheza robo fainali za caf mara sita mfululizo, mnasema mafanikio ni makombe pekee wakati huo huo nanyi mnajisifia rekodi ndogo ndogo kama hizo za kumfunga simba, na siyo hilo tu hata mlipovaa medali za caf kutwa kucha mlikuwa mnawaringishia simba hizo medali baada ya kuona simba nao wamevaa ndio mnakumbuka kwamba mafanikio ni makombe pekee, yani vigezo mnavyotumia kusema simba ni dhaifu ndio vigezo hivyo hivyo mnavyotumia kusema yanga ni bora sasa hapo unaona ni mashabiki gani wanatumia akili na wepi wanatumia mihemko, halafu kwa mujibu wenu simba haijawahi kuwa bora sasa sijui ni simba ipi bora unayo izungumzia ambayo yanga waliifunga mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe tenaSijui unarefer rekodi gani lakini Yanga kipindi ni hohehahe, kajamba nani , yanga ya bakuli.
Inasajili wachezaji wa mafungu, hadi Zakhera anajitapa kutoa pesa zake mfukoni kuinusuru, kipindi kibovu kabisa.
Kipindi cha washambuliaji butu kabisa ila Simba hamkuwahi kuifunga mara 6 mfululizo.
Simba imefungwa ikidhaniwa ni bora, ikidhaniwa dhaifu, ikidhaniwa kua na ubora sawa na Yanga.
Hiyo ya kimataifa ni kichaka cha kujifichia kwa mashabiki maandazi wengi ila watu wa mpira hilo chaka lishafutwa.
Na kitu ambacho anajivunia ni kuingia robo mara 4, kucheza fainali cafcc(ambazo alipoteza kombe mbele ya macho yake).
Mkuu usijifiche kichaka cha kimataifa wakati nako huna rekodi yoyote ya kujivunia.
Nyanyua kwapa, achana na rank hutocheza club world cup ohooo.
Nani kasema Simba ni dhaifu?? Mimi au nani??Sasa wewe unayejisifia kumfunga simba mara sita mfululizo una tofauti gani na simba anayejisifia kucheza robo fainali za caf mara sita mfululizo, mnasema mafanikio ni makombe pekee wakati huo huo nanyi mnajisifia rekodi ndogo ndogo kama hizo za kumfunga simba, na siyo hilo tu hata mlipovaa medali za caf kutwa kucha mlikuwa mnawaringishia simba hizo medali baada ya kuona simba nao wamevaa ndio mnakumbuka kwamba mafanikio ni makombe pekee, yani vigezo mnavyotumia kusema simba ni dhaifu ndio vigezo hivyo hivyo mnavyotumia kusema yanga ni bora sasa hapo unaona ni mashabiki gani wanatumia akili na wepi wanatumia mihemko, halafu kwa mujibu wenu simba haijawahi kuwa bora sasa sijui ni simba ipi bora unayo izungumzia ambayo yanga waliifunga mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe tena
Sasa mbona unajitoa ufahamu ni lini uliwahi kusikia shabiki wa yanga anasema simba ni bora yani huwa mnakubali kwamba simba ni bora pale mnapotaka kutetea mawazo yenu tu hata kipindi hicho unachosema simba ilikuwa bora kuna wenzio wengi walikuwa wanasema ni mbovu, ofcourse simba inahujumiwa na inasalitiwa hilo mbona hata msemaji wenu kakiri japo anajifanya kuongea kwa mafumbo ila watu wazima wameshaelewa ukweli ni kwamba ili yanga ifanikiwe ni hadi waihujumu simba na kujaza mamluki wao kwenye uongozi, yanga hawawezi kutoboa mbele ya simba iliyo imara ndio maana wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanachochea migogoro isiyoisha ndani ya simba lakini simba wala haihitaji kuifanyia hujuma timu yoyote ndio ili ifanikiwe na ukitaka kuthibitisha hili subiri siku simba ikirudi kuwa imara kama vilio havijarudi tena huko kwenu ni suala la muda tuNani kasema Simba ni dhaifu?? Mimi au nani??
Hapo nimeandika Yanga kamfunga Simba, Simba ikidhaniwa ni imara, dhaifu au sawa na Yanga.
Ikiwa na maana kwamba kwa maoni ya mashabiki na wachambuzi.
Hata Juzi hapo ukipitia nyuzi za humu jf, mitandao mingine na wachambuzi utaona kua ilisifiwa kwa kuonesha mchezo mzuri kama ile ngao ya Jamii iliyopita.
But gues what, ile iliyopita mkajifunga na kuclaim kua Yanga hakuwafunga na mlikosa ubingwa na hamkuambulia kombe lolote zaidi ya mapinduzi if am not mistaken.
Shida ya yenu kubwa ni kukubali makosa, huwa hamkubali kabisa sijui kwanini. Huwa mnadhani mnahujumiwa, mmesalitiwa etc.
Na hii ya sasa ni hivyohivyo, mmecheza na Yanga mnaclain ni goli la offside. Mwisho wa siku hambebi kitu mnajisifu kufika robo misimu ileee iliyopita.
Mkuu unarukaruka sana, maneno ya mashabiki wengine unanilisha mimi.Sasa mbona unajitoa ufahamu ni lini uliwahi kusikia shabiki wa yanga anasema simba ni bora yani huwa mnakubali kwamba simba ni bora pale mnapotaka kutetea mawazo yenu tu hata kipindi hicho unachosema simba ilikuwa bora kuna wenzio wengi walikuwa wanasema ni mbovu, ofcourse simba inahujumiwa na inasalitiwa hilo mbona hata msemaji wenu kakiri japo anajifanya kuongea kwa mafumbo ila watu wazima wameshaelewa ukweli ni kwamba ili yanga ifanikiwe ni hadi waihujumu simba na kujaza mamluki wao kwenye uongozi, yanga hawawezi kutoboa mbele ya simba iliyo imara ndio maana wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanachochea migogoro isiyoisha ndani ya simba lakini simba wala haihitaji kuifanyia hujuma timu yoyote ndio ili ifanikiwe na ukitaka kuthibitisha hili subiri siku simba ikirudi kuwa imara kama vilio havijarudi tena huko kwenu ni suala la muda tu
Sasa unabisha nini wakati wanaosema hayo ni viongozi wenu wenyewe kwamba wana watu wao ndani ya simba au hata hufuatilii huko mitandaoni, unadhani kumtoa mtu kwenye uongozi wa taasisi ni rahisi hivyo kama kumfukuza mfanyakazi nyumbani kwako, sasa manji si alifilisiwa na magufuli sababu ya ufisadi wake mwenyewe mambo ya siasa simba wanahusikaje mbona kina bakhresa hawafilisiwiMkuu unarukaruka sana, maneno ya mashabiki wengine unanilisha mimi.
Ulishaona nchi gani ambapo timu B inakua na msimu mbaya na timu A isinufaike na ubovu wa timu B??
Migogoro yenu ya ndani mnapoihusisha yanga ndio mnazidi kuharibu, mnajaa kwenye mfumo na kuvurugana zaidi, nani asiejua viongozi wenu ndio wanawahujumu huku mkitafuta sababu ati ni Yanga??
Kama lilivyo tatizo lako na wanasimba mlio wengi, kamwe hamkubali makosa yenu. Yaani timu ikivurunda, viongozi wasipoelewana mnasema ni Yanga, matokeo yake hamtatui tatizo la ndani mnaishia kuituhumu Yanga.
Haya watoeni hao mamruki, kama hata wewe unajua hii habari sidhani kama raisi na mwenyekiti wenu atakosa kuijua, ila ajabu nyote mnailaumu Yanga.
Jengeni timu acheni kupotoshwa na lawama zisizo na msingi. Kipindi Manji anafilisiwa ulisikia lawama wakipewa simba??
Mnajaa kirahisi sana kwenye propaganda za watani.Sasa unabisha nini wakati wanaosema hayo ni viongozi wenu wenyewe kwamba wana watu wao ndani ya simba au hata hufuatilii huko mitandaoni, unadhani kumtoa mtu kwenye uongozi wa taasisi ni rahisi hivyo kama kumfukuza mfanyakazi nyumbani kwako, sasa manji si alifilisiwa na magufuli sababu ya ufisadi wake mwenyewe mambo ya siasa simba wanahusikaje mbona kina bakhresa hawafilisiwi