Nyakati zinabadilika: AS Vita na Mazembe hawapo mashindano ya CAF

Sasa ngoma amethibitisha vipi hebu lete huo uthibitisho wake au na yeye kaongea maneno tu kama ambavyo aliongea mayele, kwahiyo wakiongea wachezaji wa yanga ni matatizo yao tu ila wakiongea wa simba ndio ukweli halafu unajiona una hoja haya vipi hayo yanayo fanywa na timu yenu hadharani mbona huyasemi, kuhusu kimataifa hiyo misimu minne ambayo simba kapanda rank ndio hiyo hiyo misimu ambayo kakosa ubingwa ligi ya ndani sasa nilitaka nikuoneshe namna unavyo jichanganya mwenyewe kwenye kuuongelea ubora na ubovu wa simba au haujaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…