Uchaguzi 2020 Nyalandu kwa Interview hii umepoteza uhalali wa kumkabili Dkt. Magufuli kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020

Hiyo ndio siasa hata huyo Lissu alikula matapishi yake kwa Lowassa.
 
Kuna wakati alisema alihama CCM kuja Chama kidogo CHADEMA ni maamuzi magumu.Anaamini wazi CCM itapita
 
Yani neno baba tu ndio limekupa tabu hivyo? Mboma kawaida tu...
 
upinzani sio ugomvi wala uadui na siasa sio matusi au kutukanana hovyo hovyo ni sera na hoja tu.
 
upinzani sio ugomvi wala uadui na siasa sio matusi au kutukanana hovyo hovyo ni sera na hoja tu.

Imagine Nyalandu akiwa mgombea kwa tiketi ya Chadema kisha kwenye kampeni majukwaani aendelee kumuita kwa jina la "Baba yetu" uone kama hajaishia kupata kura za yeye na familia yake!

Zipo kauli za kuonyesha heshima lakini haipaswi kwa mgombea kutoa kauli zinazoashiria utiifu wa kupita kiasi kwa mgombea mwingine, akifanya hivyo automatically watu wanaresonate zaidi na yule anayepewa utiifu zaidi kuliko huyu anayejaribu kumchallenge!

Words are powerful!

You just don't use submissive words when you are challenging someone
 
haya bwana
 
Lisu hana breki huwa analipuka lipuka tu kama volcano.
 
Inaweza kuwa na maana ya 'Baba Yetu' anaye sifiwa na kutukuzwa ktk siasa za Tanzania hadi tunaona baadhi ya raia wateuliwa wakiinamisha vichwa vyao kama ishara ya kumsujudu 'Baba Yetu ' (Mungu wa Kisiasa wa CCM ) hata kabla ya Covid-19 kugundulika huko Wuhan China .

Tunaona ma Don wa Mafia, wafuasi wao hubusu kiganja cha Bwana Mkubwa kuonesha ishara ya kujishusha chini mbele ya Bwana Mkubwa.

Hili la sasa hapa Tanzania la baadhi ya watu wanaoteuliwa kuinamisha vichwa kusujudu mamlaka ya kisiasa ya Baba Yetu sijui ni utamaduni wa kutoka wapi.
 
We must be serious,, yaani kuna mtu huko anafikiria Nyalandu anafaa kuwa Rais wa nchi hii....?
 
Nduguzanguni wachadema,jifunzeni kuwa flexible,,msishupaze sana shingo zitavunjika,πŸ˜‚πŸ˜‚
na mtaka cha uvunguni sharti ainame,,sasa bila kyinama unakipataje?.
ulitaka amwite jpm bepali,au jina baya halafu katika hali kama hii utegemee utagombea kwa raha,
mjifunze kulainisha lugha panapobidi ili mpate m achokitaka,
 
Nimetoa kwenye listi yangu baada ya kugundua ni too submissive
He can't deserve that position, hata uwaziri ulimshinda.... It was nepotism tuu ila Hutu jamaa hafai. Nadhani CDM watulie na wafanye uamuzi ama Lissu au Mbowe otherwise wasajili external individual kama vile Member na wengineo..
 

Amuite Rais Magufuli, au mheshimiwa rais siyo kumuita Baba yetu!

Kumuita baba ni kujiweka katika utiifu kwake badala ya kumheshimu tu!

Mgombea urais hapaswi kuwa "mtoto" mtiifu kwa mgombea urais mwenzie bali anapaswa kumpa hwshima tu kutokana na utu wake na hadhi ya cheo chake!

Akizoea kumuita baba yetu, atarudia kumuita baba yetu kwenye majukwaa ya kampeni na watu watamuona kama anaousound like a "Sissy"
 
Hapa anaenda na Polar Opposite Theorem

Magufuli ni vurugu,na wanadamu kiasili hawapendi vurugu

Yeye anaenda opposite kabisa,kwenye upande wa "ustaarabu"...straight up.

Ni kama CDM,wameona opposite ya Low ni High

Na infact wana score points whether you like it or not...

Kama Magufuli ameenda Low kwa mavurugu,opposition wanaenda High kwa ustaarabu,wananchi ndio watachagua kwenye mioyo yao.

Magufuli ana mavurugu sababu ana government apparatus,kum-neutralize ni kwenye uwanja wa "ustaarabu" na wala sio fujo maana kiasili wananchi hawapendagi fujo na wote mkipenda fujo mtaonekana vichaa wote na hakuna atakae-win anything from anybody.

Kuna points wana score hapa.
 
When you are strong appear weak,
When you are far,make it like you are near,
When you are in control appear like you are submissive,

The art of war,
 
Hawa watu hawajifunzi tu NYALANDU nae ni mpinzani pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…