Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upinzani sio ugomvi wala uadui na siasa sio matusi au kutukanana hovyo hovyo ni sera na hoja tu.You just don't get it!
The main point hapa siyo kwamba Nyalandu ameportray heshima kwa rais bali ameportray uogauoga kwa Magufuli, na uoga huzaa unafiki na unafiki. huzaa uharibifu katika nchi!
Hatuhitaji mtu muoga muoga kusimama kumchallenge Magufuli kwenye uchaguzi wa October 2020
Unaweza kuimagine Biden amuite Trump "our father Trump"?
Nakuhakikishia Lissu kamwe hawezi kusimama na kutoa heshima ya nidhamu ya uwoga kama hiyo ya kumuita Magufuli Baba!
Kauli ya Nyalandu is too timid, too lame, hypocritical. Na hizo siyo sifa zinazomfaa mtu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
upinzani sio ugomvi wala uadui na siasa sio matusi au kutukanana hovyo hovyo ni sera na hoja tu.
Hata Omar All Bashir alikua akua akiwatia wapinzani wake mbaroni lkn na yeye Sasa katiwa mbaroni.maisha upepo unabadili mwelekeo wakati wowote.Tundu Lisu akitua tu anatiwa mbaroni hadi upelelezi ukamilike!
haya bwanaImagine Nyalandu akiwa mgombea kwa tiketi ya Chadema kisha kwenye kampeni majukwaani aendelee kumuita kwa jina la "Baba yetu" uone kama hajaishia kupata kura za yeye na familia yake!
Zipo kauli za kuonyesha heshima lakini haipaswi kwa mgombea kutoa kauli zinazoashiria utiifu wa kupita kiasi kwa mgombea mwingine, akifanya hivyo automatically watu wanaresonate zaidi na yule anayepewa utiifu zaidi kuliko huyu anayejaribu kumchallenge!
Words are powerful!
You just don't use submissive words when you are challenging someone
We must be serious,, yaani kuna mtu huko anafikiria Nyalandu anafaa kuwa Rais wa nchi hii....?
He can't deserve that position, hata uwaziri ulimshinda.... It was nepotism tuu ila Hutu jamaa hafai. Nadhani CDM watulie na wafanye uamuzi ama Lissu au Mbowe otherwise wasajili external individual kama vile Member na wengineo..Nimetoa kwenye listi yangu baada ya kugundua ni too submissive
Nduguzanguni wachadema,jifunzeni kuwa flexible,,msishupaze sana shingo zitavunjika,😂😂
na mtaka cha uvunguni sharti ainame,,sasa bila kyinama unakipataje?.
ulitaka amwite jpm bepali,au jina baya halafu katika hali kama hii utegemee utagombea kwa raha,
mjifunze kulainisha lugha panapobidi ili mpate m achokitaka,
Hapa anaenda na Polar Opposite TheoremNimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi.
Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa kupandishwa ndege.
Katika majibu yake Nyalandu anaonyesha kujibu huku akimrefer raisi Magufuli kama "Baba yetu".
Sikutegemea kusikia mgombea uraisi mmoja akimuita mgombea uraisi mwingine, wa chama kingine, tena wanaokaribiana umri kama "Baba"
Kauli hii ukiitafsiri kiundani, unaona wazi kuwa Nyalandu kamwe hawezi kuita sepetu ni sepetu pindi kama akiteuliwa kuwa mgombea, Kiufupi imemuonyesha Nyalandu kama mtu mwenye nidhamu ya woga, laini laini sana kuweza kupambana na rafu za Magufuli kwenye kampeni.
Lakini kitu kingine ni dhahiri Nyalandu kwa kauli hii ya kumuita mshindani wake "Baba" kamwe hatoweza kumshughulikia kwa matendo yake ya kuvunja sheria na katiba na maamuzi ambayo kayafanya nje ya utaratibu wa majukumu halali ya uraisi pindi akitwaa dola. Je ni nani anayeweza kumpeleka baba yake mahakamani?
Pengine mtu unaweza kusema kuwa Nyalandu alikuwa akijaribu kuwa muungwana au kufanya siasa za kistaarabu, Jivi siasa za kistaarabu ndo umuite rais aliyeko madarakani baba yako?, Kama unamheshimu kiasi cha kumuona kama baba yako kwa nini sasa uchukue fomu kumtoa madarakani?
Hizi tabia za wanasiasa kuleta mambo ya ubaba na umama katika kazi ndiyo mwanzo na wenyewe wakishika madaraka kutaka wapewe ufather au waonekana kama mababa ambao maamuzi yao hayapaswi kupingwa. Ndiyo maana nashangaa Mtia nia wa kugombea urais wa Chadema ndugu Nyalandu anamuona raisi Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi kama baba!
Hata kwenye chama cha Mapinduzi, Rais na mwenyekiti wao hawamuiti baba huwa wanamuita ndugu, Iweje leo Mgombea wa Chadema ampe heshima ya ubaba mtu ambaye hata chama chake hakijawahi kumuita hivyo?
Nyalandu kama unamuita Magufuli ni baba yetu, ya nini sasa wewe utake kumchallenge baba?
Au unaogopa Magufuli asifukue madudu yako ulipokuwa serikalini akakushughulikia?
Mtu anayepaswa kumchallenge Magufuli ni mtu shupavu, asiye na nidhamu ya woga, mtu asiye softsoft, mtu mwenye kumuona Magufuli kama rais na siyo baba yetu.
Kwa sasa sijaona mgombea mwenye ujasiri huo wa kutosha kabisa kabisa kama Tundu Lissu na Bernard Membe
Sitegemei kumsikia Lissu au Membe wakimuita Rais Magufuli kuwa ni baba yao, kufanya hivyo ni nidhamu ya woga, kujilegezalegeza mbele ya mgombea wa chama kingine.
When you are strong appear weak,Amuite Rais Magufuli, au mheshimiwa rais siyo kumuita Baba yetu!
Kumuita baba ni kujiweka katika utiifu kwake badala ya kumheshimu tu!
Mgombea urais hapaswi kuwa "mtoto" mtiifu kwa mgombea urais mwenzie bali anapaswa kumpa hwshima tu kutokana na utu wake na hadhi ya cheo chake!
Akizoea kumuita baba yetu, atarudia kumuita baba yetu kwenye majukwaa ya kampeni na watu watamuona kama anaousound like a "Sissy"