NORTHERNIST
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 304
- 247
hili suala la kuunganisha nyuzi nalo halijakaa vizuri sana manake unaweza kuta uzi wako heading inafafnana na ya mtu mwingine lakini uchambuzi ukawa vizuri zaidi ya uzi unai-ounganishiwa sasa hii inasababisha wadau tukose vitu vizuriUkiweka uzi kama huu watukufu wanaunganisha