Nyama gani tamu zaidi duniani?

Nyama gani tamu zaidi duniani?

Kwa mwingine nyama ni kila kitu, ukimnyima anaweza kukuloga kama yuko na uwezo huo. Ila kwa baadhi kwao nyama ni sumu, dhambi kula na akiona hujisikia kichefu chefu.

ni tofauti za kitamaduni au mapenzi ya mtu binafsi.

ILA KITU NOAH NI BALAA!
 
Hahahaha wachana na hot chair lol R.I.P Englis,nyama tamu balaa ile hakunaga nyingine
 
kitimoto.jpg
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom